Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA OKWI YATIKISA UGANDA, YAHUDHURIWA NA VIONGOZI WA KIJESHI

Mchezaji wa Simba, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda,akiwa na mke wake, Nakalega Florence katika pozi. NDOA ya mchezaji wa Simba, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda, aliyofunga na Nakalega Florence, juzi Jumamosi kwenye Kanisa la Lubaga Miracle Center, linaloongozwa na Mchungaji Robert Kayanja, ilionekana kutikisa viunga mbalimbali vya Jiji la Kampala nchini hapa.
Kutikisa kwa ndoa hiyo kulitokana na vyombo mbalimbali vya habari...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Uganda kupewa mafunzo ya kijeshi

Museveni ameviagiza vikosi vya usalama kutoa mafunzo ya kijeshi kwa raia kwa lengo lakupigana vita dhidi ya kundi la kigaidi la Al Shabaab.

 

10 years ago

Raia Mwema

Siku Rais Nyerere alipotinga kizimbani akituhumiwa Kuvamia Uganda kijeshi

WAKATI akiondoka Dar es Salaam kuelekea nchini Liberia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

CloudsFM

EMMANUEL OKWI KUFUNGA NDOA ''SOON''

Mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya Uganda na klabu ya Simba ya jijini Dar,Emmanul Okwi anatarajia kufunga ndoa mwezi huu nchini humo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alisema kuwa Okwi amepewa ruhusa ya kushughulikia masuala yake na hasa hilo la ndoa.
“Anatarajia kufunga ndoa mwezi huu, nafikiri itakuwa tarehe ishirini, ndiyo maana tumempa ruhusa.
Taarifa za kutoka Kampala zinaeleza, Okwi anamuoa mpenzi wake wa siku nyingi na maandalizi...

 

10 years ago

Mwananchi

Harusi ya Okwi yafunika Uganda

Harusi ya mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi imeacha historia nchini Uganda akitumia dola 80,000 ( Sh 160,000 Mil ) kwa ajiri ya kuifanikisha iliyofanyika Jumamosi jijini Kampala.

 

11 years ago

GPL

Uganda yamzuia Okwi kuzungumza na Yanga

Mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya kauli ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kuwa klabu hiyo inamdai mamilioni ya fedha mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kwa wakati mara baada ya kusajiliwa, suala hilo sasa limewekwa kiporo. Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu ameliambia Championi Ijumaa kuwa, bado hawajaamua cha kufanya juu ya Okwi kwa kuwa wanamsubiri...

 

11 years ago

GPL

OKWI AONDOKA KIMYAKIMYA KWENDA KWAO UGANDA

Emmanuel Okwi akisubiri wapambe wake waliombebea mizigo huku simu ikiwa sikioni akiongea na mtu. Wapambe (nyuma)  na Okwi akiwa mbele wakielekea ndani ya uwanja wa ndege sehemu ya abiria wanapopumzika.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda kujadili Muswada wa Ndoa, Talaka

Kwa mujibu wa wanaharakati, muswada huo ukipitishwa, utaimarisha sana haki za wanawake

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA AUNT YAHUDHURIWA NA MASTAA KIBAO

Staa wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel akikata keki  ya bethidei yake ndani ya Ukumbi uliyopo kwenye   Mgahawa wa Rodizio Masaki jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo. Aunt Ezekiel akimlisha keki Wema Sepetu.…

 

11 years ago

GPL

BETHDEI YA DK CHENI YAHUDHURIWA NA MASTAA KIBAO

Keki yenye kuonyesha kazi azifanyazo Dk Cheni. Mwanamuziki Prof. Jay akilishwa keki na Dk Cheni kwa niaba ya wasanii wa Hip Hop. Mdau wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani