Uganda yamzuia Okwi kuzungumza na Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSLDM1dt7oPZ6wbRPY9t6MJX4Bpdw668B4TXu68o0LGTWBozFKYU3v1Qtb3KhSFCmk5dGicRlgR*9kNq8BqAoI5Y/UGDA.gif?width=650)
Mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge BAADA ya kauli ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kuwa klabu hiyo inamdai mamilioni ya fedha mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kwa wakati mara baada ya kusajiliwa, suala hilo sasa limewekwa kiporo. Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu ameliambia Championi Ijumaa kuwa, bado hawajaamua cha kufanya juu ya Okwi kwa kuwa wanamsubiri...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Harusi ya Okwi yafunika Uganda
11 years ago
GPLOKWI AONDOKA KIMYAKIMYA KWENDA KWAO UGANDA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhx7my1Yu1T4ZuK0LLcbYACyclVk8fsocea9ki32ZYyT3xupiCyEmCCOfNOTn8*-LBWjmx9tpNBYrmwX3VYsdpTs/wakiwamunyunyubeachresort10.jpg?width=650)
NDOA YA OKWI YATIKISA UGANDA, YAHUDHURIWA NA VIONGOZI WA KIJESHI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cPakA0chAExMKvaQ6pwiS1tMhMAk7m9pUCpz0YoXh*GvTfXOFp7noS6yjHF1tPwDgFt53L5Lp2NOBZWuFmYrpHg0drJ1H2z-/okwi.jpg?width=650)
Okwi ayeyuka Yanga SC
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Yanga kumshtaki Okwi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-35ea58qFejI*QhuCRY4Z8HRXpSVdgLXKuN3aLNLOA2aGk-fddAcdqc3y2VOZ3Qo-kZJVps6tJzWQHRVpvfmKY3/okwi.jpg?width=640)
OKWI ATUA YANGA SC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-2YiV16Uwlx-OTxx40PAq1FjGAtQhAaVxlQAc*hLTk2L0vuGWF1pYrRvSjQw3L7ceYBur27P-rCG5h8A2*w*Ksq/1Dar1copy.jpg?width=650)
Okwi asaini Yanga SC
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Mar
Okwi aituliza Yanga
NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Okwi aitamani Yanga Kagame
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, amesema hana tatizo na viongozi wa Yanga, hivyo amepanga kurejea na kujiunga na timu hiyo kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la...