Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL FC YAICHAPA SINZA STARS

Mhariri wa gazeti la uwazi Bwana Elvan Stambuli akiwaelekeza wachezaji wa timu ya Global Publisher baada ya mapumziko ya kipindi cha kwanza. Omary Mdose mmoja wa wachezaji machachari wa GPL akiwa anajipanga kwa mashambulizi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STARS YAICHAPA 4-1 BENIN

Thomas Ulimwengu akikwaana na beki wa Benin (jezi nyeupe).…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAFANYA MAUAJI, YAICHAPA NSSF 6-1

Mshambuliaji wa Global Publishers Ltd, Saleh Ally, akiwatoka mabeki wa timu ya NSSF. Mtanange kati ya Global na NSSF ukiendelea.…

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAICHAPA ZIMBABWE BAO 1-0 LEO DAR ES SALAAM

Mshambuliaji wa Taifa Stars , Mbwana Samatta (juu) akikwepa kwanja wakati akijaribu kumtoka beki wa timu ya Taifa ya Zimbabwe, katika mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2015 zinazotarajia kufanyika nchini Morocco, wakati wa mtanange huo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Taifa Stars, ilishinda bao 1-0.  ***********************************************  Na Sufianimafoto,...

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MISS SINZA KUANZA MEI 5 KWENYE UKUMBI WA MEEDA, SINZA

Prisca Clement (katikati) mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013. Na Mwandishi Wetu
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini Dar es Salaam. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Prisca Clement alimaliza katika hatua ya 10 bora katika mashindano ya mwaka jana ya Miss...

 

11 years ago

GPL

MATOKEO: GLOBAL FC 2, MWANZA ALL STARS 4

Kikosi cha timu ya Global Fc, kilichocheza na Mwanza All Stars kwenye mchezo mkali wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa Posta, Kijitonyama jijini Dar. ...Kikosi cha Mwanza All Stars.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL KUIVAA MWANZA ALL STARS LEO

Kikosi cha timu ya Global Fc. Na Mwandishi Wetu TIMU ya Global FC, leo itaingia uwanjani kuvaana na Mwanza All Stars kwenye mchezo mkali wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Posta, Kijitonyama jijini Dar. Huu utakuwa mchezo wa pili kwa Global ndani ya wiki moja baada ya wiki iliyopita kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Kigoma All Stars.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani