Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL FC YAINYUKA TEGETA VETERAN 1-0

Baadhi ya wachezaji wa Global FC wakiwa na nyuso za furaha baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Timu ya Tegeta Veteran. Mchezo huo ulipigwa jana kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tegeta uliopo Tegeta jiji…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BUKOBA VETERAN KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI KESHO JUMAMOSI 17.10.2015 NA BUSWELU VETERAN

Bukoba Veteran kucheza mchezo wa Kirafiki kesho jumamosi 17.10.2015 kwenye Uwanja wa shule ya seminari ya Ntungamo Bukoba na Timu ya Buswelu Veteran kutoka Jijini Mwanza. Mtandao wa Bukobasports.com ukiongea na Nahodha wa Timu hiyo Kepteni Mwinyi Rajab umeelezwa kwamba mpambano huo wa kirafiki utapigwa kesho jioni na amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Viwanja hivyo. Pia ameweza kuongeza kuwa kutapigwa mtanange mwingine wa kirafiki utaochezwa kesho yake jumapili 18.10.2015...

 

10 years ago

Mwananchi

Real yainyuka TZ IX

Wakongwe wa Real Madrid wamethibisha ubora wao kwa kuichapa Tanzania IX kwa mabao 3-1, na kukabidhiwa kombe na Rais Jakaya Kikwete jana kwenyeUwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Liverpool yainyuka Everton 4-0

Liverpool imeitimuatimua Everton kwenye mchuano wa katikati ya wiki ligi kuu nchini England kuimarisha kampeni ya taji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Italia yainyuka England

Timu ya England chini ya miaka 21 imekubali kichapo cha Mabao 3-1 kutoka kwa Italia katika michuano ya ulaya.

 

10 years ago

Mwananchi

Burundi yainyuka Stars

Tanzania imeendeleza uteja wake kwa Burundi baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Taifa Stars ikiwakilishwa na wachezaji wengi wa majaribio.

 

9 years ago

BBCSwahili

Newcastle yainyuka Norwich City

Newcastle hatimaye imeonja ushindi baada ya kuinyuka Norwich city.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YAINYUKA NDANDA FC MAGOLI 3- 0

 Ramadhani Singano akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Ndanda FC katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0. (Pichana Francis Dande) Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimiliki mpira mbele ya beki wa Ndanda FC. Mchezaji wa Ndanda FC akimiliki mpira.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia.Kipa wa Ndanda FC akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani