GRL YAKABIDHI JENGO KWA KIJIJI CHA MABAONI
![](http://4.bp.blogspot.com/-rOKic6KB9QA/VYentHSF6EI/AAAAAAABQhk/Oxmh4VTRyAw/s72-c/hati.jpg)
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Mabaoni, Sailas Ndenga (kushoto) akipekea hati ya jengo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Green Resources Ltd, Anthony Kisondella wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika katika
Kijiji cha Mabaoni, wilayani Mufindi, mkoani Iringa jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)Wananchi wa Kijiji cha Mabao, viongozi wa Green Resources Ltd pamoja na viongoizi wa serikali wakiwa nje jengo jipya lililojengwa na Kampuni ya GRL na kukabibidhiwa kwa serikali ya kijiji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-kw_VgCDymzA/VYvHH5GzRjI/AAAAAAAAFIM/kLEveJJ16_A/s72-c/bustani%2Bya%2Bmiti.jpg)
GRL YAGAWA MCHE YA MITI MILIONI TANO KWA WANANCHI WA MABAONI
![](http://2.bp.blogspot.com/-kw_VgCDymzA/VYvHH5GzRjI/AAAAAAAAFIM/kLEveJJ16_A/s640/bustani%2Bya%2Bmiti.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-lWRGohFnxVY/VYvHHouid-I/AAAAAAAAFII/QRD-C5DRgi4/s640/funguo.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Jun
GRL donates a building to Mabaoni villagers
The villagers are coming out of the newly built building built by Green Resources Ltd after a brief handover ceremony took place at the village of Mabaoni ni Mufindi district, Iringa Region yesterday. (Photo by Friday Simbaya).
The Chairman of the Village Council of Mabaoni, Sailas Ndenga (left) receives a certificate of a building from the Acting Director of Green Resources Ltd; Anthony Kisondella during a brief handing over ceremony took place in the village in Mufindi district, Iringa...
9 years ago
MichuziLAFARGE TANZANIA YAKABIDHI MRADI WA MAJI KWA KIJIJI CHA SONGWE VIWANDANI, MBEYA
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
UNDP yakabidhi mradi wa dola za marekani 150,000 wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kijiji cha Chamwino
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo akikata utepe kuzindua Kisima cha maji safi na salama katika kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma mwishoni mwa juma lililopita.
Na Modewjiblog team, Chamwino
KIJIJI cha Manchali kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimekabidhiwa mradi wa dola za Marekani 150,000 wenye lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Mradi huo ulikabidhiwa kijiji hicho na Mratibu wa mashirika ya Umoja wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-X3_JIPPYvQo/XocNBWVDavI/AAAAAAALl6Q/XUkMbORpZQwGPSaLzZvsLryhGL1Kn2-KwCLcBGAsYHQ/s72-c/68c0e292-a2ea-4e63-a4a9-9536c9c744e7.jpg)
TMDA yakabidhi michoro ya jengo la ofisi yake ya Kanda ya Kati Dodoma kwa mkandarasi NHC
![](https://1.bp.blogspot.com/-X3_JIPPYvQo/XocNBWVDavI/AAAAAAALl6Q/XUkMbORpZQwGPSaLzZvsLryhGL1Kn2-KwCLcBGAsYHQ/s640/68c0e292-a2ea-4e63-a4a9-9536c9c744e7.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-edbN4W4yiU8/XocNYQZOg-I/AAAAAAALl6c/kI_oCZ0Ri3kh7hKNlMcJtLggJoLVYtzjgCLcBGAsYHQ/s640/dfff0ac3-eab3-45b0-ac72-281a6c606cdc.jpg)
Kukamilika kwa ujenzi huu kutaiwezesha TMDA kutekeleza majukumu yake kiufanisi katika kuhudumia mikoa ya Kanda ya kati ambayo inajumuisha Dodoma, singida na Morogoro.
TMDA ambayo hapo awali...
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Kampuni ya Shanta ya uchimbaji wa dhahabu yakabidhi hundi ya milioni 41.5 kwa kikundi cha Aminika Gold Mine cha Sambaru
Meneja mkuu wa shanta akizungumza kwenye mkutano wa makabidhiano ya hundi hiyo jana.
Na Hillary Shoo, IKUNGI
KAMPUNI ya uchimbaji wa Madini ya dhahabu ya Shanta mining Limited iliyopo katika kijiji cha Sambaru Kata ya Mang’onyi Wilayani Ikungi, imekabidhi hundi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.23 kwa kikundi cha Aminika .
Msaada huo umekabidhiwa kwa bodi ya Wakurugenzi wa kikundi hicho cha Aminika jana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Shanta, Zone Swanepoel katika kijiji cha...
11 years ago
Dewji Blog17 May
Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.
Na Hillary Shoo,
KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi Wilayani Ikungi Mkoani Singida.
Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...
9 years ago
MichuziGEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWA KUTOA MSAADA WA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIJIJI CHA FURAHA KILICHOPO MBWENI JIJINI DAR