Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GWAJIMA AWAACHA WAUMINI WAKE NJIA PANDA

Erick Evarist
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewaacha waumini wake njia panda kufuatia kauli yake ya kuwataka wamsindikize Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati jijini Dar, jana alipokwenda kuhojiwa huku Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akiwa ametoa tamko la kuzuia waumini hao kukusanyika kituoni hapo. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Gwajima aliyetoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Awaacha Watu Njia Panda…..Je ni Kweli Mjamzito?

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha njia panda  mashabiki na wafuasi wake kwenye mtandao wa INSTAGARM baada ya hapo jana usiku kubadika picha ya mwanamke mwenye ujauto na kuandika maneno ambayo hayaelezi wazi kuwa ni yeye.

“Happy New Month Lovies….Si ruksa kuitana wala ku munch”-Lulu aliandika.

Kitendo cha Lulu kuchimba mkwala akiwata watu wasiitane  kuja kuona wala kufanya kijiwe cha  kujadiliana juu ya picha hiyo (Kama inavyoonekana hapo juu) ndio kuliamsha...

 

10 years ago

GPL

ZITO KABWE AWAACHA NJIA PANDA WANANCHI VIWANJA VYA MWEMBEYANGA DAR

Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akihutubia.  Wafuasi wa ACT Wazalendo wakitoa burudani.
Burudani ikiendelea. KIONGOZI Mkuu wa Chama Cha ACT – Wazalendo, Zitto Zuber Kabwe jana…

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM njia panda

IKIWA imesalia wiki moja kabla ya watangaza nia wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukamilisha mchakato

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Tanzania Daima

TANESCO njia panda

WAKATI Watanzania wakiendelea kutaabika kwa bei mpya za umeme, hali ya kiutendaji ya Shirika la Ugavi wa Umeme (TANESCO) iko njia panda kutokana na msuguano uliopo kati ya Wizara ya...

 

11 years ago

GPL

ZITTO NJIA PANDA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.(Picha na GPL) MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameuweka njia panda uanachama wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kukubali pingamizi lake la kuizuia Kamati Kuu (CC) ya chama hicho isimjadili hadi kesi yake ya msingi itakapokuwa imesikilizwa. Kwa uamuzi huo, Zitto sasa atabaki kuwa mwanachama kwa nguvu ya mahakama...

 

10 years ago

Mtanzania

Nchi njia panda

saada mkuyaFredy Azzah na Elias Msuya
NCHI inapita katika kipindi kigumu kwa sasa kulingana na matukio mbalimbali yanayotokea wakati tukielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kulingana na hali hiyo, lugha yenyepesi inayoweza kutumika katika kufafanua ni kusema kwamba, nchi ipo njia panda.
Baadhi ya mambo hayo ni yale yaliyotokea na kuigusa nchi kama taifa, huku mengine yakigusa maisha ya wananchi moja kwa moja.
Katiba mpya
Moja ya mambo yanayoumiza vichwa vya Watanzania ni kuhusu...

 

10 years ago

GPL

WAUMINI WA GWAJIMA WAFUNGA SIKU 40

Mwandishi Wetu
WAKATI mambo yakiwa bado tete juu ya afya ya kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Mchungaji Josephat Gwajima, wafuasi wake wametangaza kufunga kwa muda wa siku 40 kuanzia juzi Jumatatu ili kuomba. Mchungaji Josephat Gwajima akiwa hospitali. Chanzo kilicho ndani ya kanisa hilo ambalo kwa sasa makao makuu yake yapo Kawe, kililiambia gazeti hili kuwa wafuasi hao wameamua kuliacha suala...

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba njia panda CUF

Sintofahamu imeendelea kukigubika Chama cha Wananchi (CUF), baada ya kauli ya mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kuwaacha wafuasi wa chama hicho katika giza nene juu ya hatima yake kisiasa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali ya umoja Z’bar njia panda

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema kitendo cha wajumbe wa CUF kususa shughuli za Baraza la Wawakilishi, kimeiweka njia panda hatma ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa, kwa kuwa ni kinyume na makubaliano ya muundo huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani