Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gwajima fiti, kuhojiwa leo.

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima (pichani), anatarajiwa kuhojiwa leo na Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam katika Kituo cha Polisi cha Kati huku wasaidizi wake wakisema afya imeimarika na yupo tayari kwa mahojiano hayo.

Akizungumza na NIPASHE Mwanasheria wa Askofu Gwajima, Paul Mallya, alisema jana kuwa mteja wake afya yake imeimarika na yupo tayari kwa mahojiano ya mwisho leo.

“Mteja wangu anaeandelea vizuri, kesho (leo) saa mbili asubuhi atahojiwa kama...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: ASKOFU GWAJIMA ATAKIWA KUHOJIWA NA JESHI LA POLISI KUHUSU TUHUMA ZA KASHFA NA MATUSI DHIDI YA KALDINARI PENGO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtaka Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima afike haraka katika kituo cha Polisi cha Kati ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahojiano kuhusu tuhuma za kashfa na matusi.
"Tumepokea malalamiko ya kukashifiwa na kutukanwa hadharani Mwadhama Kaldinari Polycarp Pengo ambaye ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kama vile WhatsApp na mingineyo kuna sauti...

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Luis Suarez yuko fiti kuivaa England leo

Mshambuliaji wa Liverpool alikuwa nje katika mchezo wa Uruguay dhidi ya Costa Rica kwa ajili ya jeraha lake la goti, lakini anatarajiwa kuanza katika mchezo wa leo dhidi ya England.

 

10 years ago

Mwananchi

Chenge kuhojiwa na Baraza la Maadili leo

Mbunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi, Andrew Chenge leo atapandishwa kizimbani kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kuhusika katika kashfa ya ‘kuchota’ fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

HELIKOPTA YA GWAJIMA YAZINDULIWA LEO

Rubani wa helikopta hiyo akijiandaa kuirusha helikopta hiyo. Helikopta ikiwa hewani. Hapa ikijiandaa kutua. Helikopta ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima imezinduliwa leo hii katika viwanja vya Tanganyika Packers,…

 

10 years ago

GPL

HALI ILIVYOKUWA NYUMBANI KWA GWAJIMA LEO

Askari wakiwa nyumbani kwa Gwajima. Makamanda wa polisi wakiwa tayari kwa lolote. Gari lililombeba Gwajima likitoka ndani ya nyumba yake kuelekea kituo kikuu cha polisi kwa ajili ya mahojiano. Mawakili wa…

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES: ASKOFU GWAJIMA APEWA DHAMANA LEO MCHANA.

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana.Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana
Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana
Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao baada ya kupatiwa dhamana

BOFYA HAPA KWA...

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM


Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza na waandishi wa Habari leo.


Na Emmanuel Mtengwa
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejitokeza leo na kujibu tuhuma zilizotolewa dhidi yake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa wiki moja iliyopita.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Askofu Gwajima amekanusha tuhuma za kuwa alimwambia Dk Slaa kuwa wapo maaskofu ambao walihongwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani