H BABA ALAZWA MUHIMBILI KWA KUUMWA DENGUE
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva,Hamis Baba’H Baba’amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa kuumwa ugonjwa wa Dengue.
Msanii huyo alipelekwa katika hospitali jana usiku baada ya hali yake kuwa mbaya.Kupitia mtandao wa Instagram mke wa msanii huyo Frolah Mvungi aliandika hivi..DENGUE.....muhimbili now SAA nane Hii.usiku.hali ilikuwa mbaya zaidi imebidi tuletwe MUHIMBILI HOSPITAL.AMEGUNDULIKA NI DENGUE.thanx to GOD anaendelea vizuri and that is the last drip.asante my manager Yahya...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli alazwa chini
Chacha Makenge akiwa amelazwa chini kwenye hospitali ya Muhimbili.
Chande Abdallah na Deogratius Mongela, UWAZI
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa aliyeibua ubovu wa mtambo ya CT Scan na mashine ya MRI kwa Rais John Pombe Magufuli, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, Chacha Makenge (pichani)amekutwa na Uwazi akiwa amelala sakafuni wodini.
Desemba 25, mwaka huu, Uwazi lilifika hospitalini hapo Jengo la Sewa Haji wodi namba 18 na kumshuhudia Chacha amelalia mashuka aliyoyatandika chini huku...
11 years ago
Habarileo23 May
Dengue yaingia Mwanza, mmoja alazwa Sekou Toure
MGONJWA mmoja mkoani hapa, amethibitika kuugua ugonjwa wa dengue na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza ya Sekou Toure. Hayo yalibainishwa leo na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Baraka Konisaga katika mkutano wake na waandishi wa habari, uliofanyika jijini hapa kufuatia kuwepo kwa taarifa za mgonjwa huyo.
9 years ago
Habarileo02 Jan
Kardinali Pengo alazwa Muhimbili
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Cleopa Msuya alazwa Muhimbili
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Mbunge wa Chadema alazwa Muhimbili
![Mbunge wa viti Maalum kwa tiketi ya CHADEMA, Maulida Anna Komu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Maulida-Anna-Komu.jpg)
Mbunge wa viti Maalum kwa tiketi ya CHADEMA, Maulida Anna Komu
Hadia Khamis na Jonas Mushi, Dar es Salaam
MBUNGE wa viti Maalum kwa tiketi ya CHADEMA, Maulida Anna Komu, amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa wiki mbili sasa.
Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Taifa Muhimbil,i Dorris Ishenda, alisema jana kuwa Komu alifikishwa hospitalini hapo wiki iliyopita na kulazwa katika wodi ya magonjwa ya moyo.
“Ni kweli amelazwa katika wodi ya magonjwa ya moyo kwa ajili ya matibabu na...
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Aboud Jumbe alazwa hospitali ya taifa Muhimbili
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94).
Na Mwandishi wetu
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo.
Taarifa iliyotolewa na Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili, Doris Ishenga, alisema Jumbe alipokewa hospitalini hapo tangu Oktoba 12, mwaka huu.
Amelazwa katika Taasisi ya Moyo baada ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WjDOX9MX92E/VCPtJSEH_aI/AAAAAAACroE/BOflTxq8BiI/s72-c/IMG-20140924-WA003%2B(1).jpg)
MZEE KASSIM MAPILI ALAZWA MUHIMBILI , RAIS WA SHIRIKISHO LA MUZIKI ADDO NOVEMBER AMTEMBELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-WjDOX9MX92E/VCPtJSEH_aI/AAAAAAACroE/BOflTxq8BiI/s1600/IMG-20140924-WA003%2B(1).jpg)
NA BONGOWEEKEND BLOGSPOT.COM
HALI ya mwanamuziki nguli Kassim Mapili aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili katika kitengo cha moyo inaendelea vizuri imehafamika.Mapili ambaye awali alilazwa katika Hopitali ya Mwananyamala...
11 years ago
Mwananchi08 May
Alazwa hospitali kwa miaka 45