Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HABARI 10 ZA GPL ZILIZOTIKISA MWAKA 2013

1. MSIBANI KWA BABA WEMA... LULU ATOA MITUSI MIZITO Stori: Waandishi Wetu
MSANII nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejikuta akiporomosha mitusi mizito ya nguoni kwenye msiba wa baba wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu, mzee Isaac Abraham Sepetu hali iliyowafanya baadhi ya waombolezaji kumkodolea macho ya mshangao... ZAIDI, INGIA HAPA: MSIBANI KWA BABA WEMA... LULU ATOA MITUSI MIZITO… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA NA ZIARA YA MAFUNZO KATIKA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA KUSINI

 Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakiwa pamoja na Mhariri Mkuu wa Habari na Matukio wa  Channel  Afrika ya Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) Busi Chaane (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika ya SABC Mike Arareng (wa kwanza kulia) walipotembelea studio hizo kwa ziara ya mafunzo. Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka kulia ni Vedasto Msungu (ITV), Gerald Kitabu (The Guardian), David...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwaka 2013 matamasha 9

Maisha bila muziki na muziki bila maisha ni sawa na samaki bila maji. Ndivyo ilivyo kwa vijana, hata jamii.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwaka 2013 kwa picha

Mwaka wa 2013 utakumbukwa na wengi kwa picha hizi

 

11 years ago

Michuzi

Tuzo za Umahiri wa uandishi wa habari 2013

 Mpiga Picha Mkuu wa Kampuni ya Raia Mwema, Mpiganaji Anthony Siame akikabidhiwa tuzo ya Umahairi wa Uandishi wa Habari na Bw. Aggrey Mareale  baada ya kuibuka mshindi wa picha bora kwa mwaka 2013 wakati wa Sherehe zilizofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Hongera mpiganaji!

 

11 years ago

GPL

ARSENAL YAFUNGA MWAKA 2013 KILELENI

Olivier Giroud akishangilia bao pekee aliloifungia Arsenal na kukwea kileleni. Cheick Tiote wa Newcastle (kulia) akiwania mpira na Wilshere wa Arsenal.
Olivier Giroud (katikati) akiwatoka Tiote (kushoto) na Mike Williamson wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani