HABARI MBALIMBALI KWA UFUPI
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete alisema kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu bado hajajitokeza mpaka sasa.Akihutubia Jumapili katika sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho katika Uwanja wa Majimaji Mjini Songea mkoani Ruvuma, Rais alisema:“Wapo watu wenye sifa zote za urais lakini hawajitokezi na hata wakiambiwa kuwa wanaweza husema kuwa hawajajiandaa. Hawa ndiyo tunaowahitaji kwa kuwa wanahitaji kukumbushwa.”Katika tukio jingine,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ODodsbr0Sj4/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Habari za biashara kwa ufupi
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Habari za biashata kwa ufupi
10 years ago
Bongo507 Jan
#NjeyaBongo (Habari 10 kwa ufupi zilizojiri Jumatano hii, Jan 7
10 years ago
Bongo502 Jan
#NjeyaBongo (Habari 10 kwa ufupi zilizojiri leo duniani) Jan 2
10 years ago
Bongo506 Jan
#NjeyaBongo (Habari 10 kwa ufupi zilizojiri leo duniani) Jan 6
10 years ago
Bongo505 Jan
#NjeyaBongo (Habari 10 kwa ufupi zilizojiri leo duniani) Jan 5
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa
11 years ago
MichuziOFAB TANZANIA YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI