Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


#NjeyaBongo (Habari 10 kwa ufupi zilizojiri Jumatano hii, Jan 7

Hizi ni habari 10 kwa ufupi kutoka vyanzo mbalimbali vya habari duniani zilizoandikwa Jumatano hii. 1.Dr. Dre na Jimmy Lovine washtakiwa na partner wao wa zamani wa Beats Electronic Producer Dr. Dre na mwenzie Jimmy Iovine wameshtakiwa na partner wao wa zamani kwenye kampuni ya Beats Electronics. Noel Lee, mwanzilishi wa Monster Llc, amewasilisha madai […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

#NjeyaBongo (Habari 10 kwa ufupi zilizojiri leo duniani) Jan 6

Hizi ni habari 10 kwa ufupi kutoka vyanzo mbalimbali vya habari duniani zilizoandikwa Jumanne hii. 1. Steven Gerrard kuhamia LA Galaxy ya Marekani Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard yupo mbioni kumaliza makubaliano ya kusaini mkataba wa miezi 18 na timu ya soka ya Los Angeles Galaxy ya Marekani. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 […]

 

10 years ago

Bongo5

#NjeyaBongo (Habari 10 kwa ufupi zilizojiri leo duniani) Jan 2

Hizi ni habari 10 kwa ufupi kutoka vyanzo mbalimbali vya habari duniani zilizoandikwa Ijumaa hii. 1.Waasi wa ISIS wadaiwa kujiambukiza Ebola Shirika la afya duniani linachunguza ripoti kuwa wanamgambo wa ISIS wamekuwa wakionekana kwenye hospitali ya Iraqi wakiwa na Ebola. Kwa mujibu wa vyombo vitatu vya habari idadi isiyojulikana ya wanamgambo hao wakiwa na dalili […]

 

10 years ago

Bongo5

#NjeyaBongo (Habari 10 kwa ufupi zilizojiri leo duniani) Jan 5

Hizi ni habari 10 kwa ufupi kutoka vyanzo mbalimbali vya habari duniani zilizoandikwa Jumatatu hii. 1. Jay Z na Beyonce kuwekeza kwenye timu ya soka ya Beckham itakayoanzishwa Marekani Jay Z na mke wake, Beyonce wanadaiwa kuwa na mpango wa kuwekeza kwenye klabu ya soka ya nchini Marekani itakayomilikiwa na David Beckham. Beckham yupo kwenye […]

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

HABARI MBALIMBALI KWA UFUPI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete alisema kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu bado hajajitokeza mpaka sasa.Akihutubia Jumapili katika sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho katika Uwanja wa Majimaji Mjini Songea mkoani Ruvuma, Rais alisema:“Wapo watu wenye sifa zote za urais lakini hawajitokezi na hata wakiambiwa kuwa wanaweza husema kuwa hawajajiandaa. Hawa ndiyo tunaowahitaji kwa kuwa wanahitaji kukumbushwa.”Katika tukio jingine,...

 

11 years ago

Mwananchi

Habari za biashata kwa ufupi

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri amepiga marufuku mahakama za kijadi maarufu kwa jina la “Ndaga shida” kukamata, kutesa na kuwatoza fedha na mifugo wananchi wanaotuhumiwa kutenda makosa mkoani hapa.

 

11 years ago

Mwananchi

Habari za biashara kwa ufupi

Wakulima wa zao la Pareto kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya watachangia Sh43.2 milioni watakazotoa kwa njia ya ushuru katika kipindi cha mwaka 2014/15, ilielezwa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Yaliojiri wiki hii kwa ufupi:UN yapongeza Maandalizi ya Uchaguzi

NEC Mashine za Kura hazitakaguliwa UKAWA wataishia kunawa tu. Wakati vyama vya upinzani hususan vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vikiwa na matumaini ya wataalam wao kuruhusiwa kukagua mfumo na mashine zitakazotumika kuhesabia kura kwenye […]

The post Yaliojiri wiki hii kwa ufupi:UN yapongeza Maandalizi ya Uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa

Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani