Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Habari ya mtoto wa dawa za kulevya ituamshe

Katika toleo letu la jana, Desemba 29, 2014 kwenye ukurasa wa mbele tulikuwa na habari iliyomhusu mtoto wa miezi mitatu ambaye ameathirika na dawa za kulevya kutokana na mama yake kuwa mtumiaji mkubwa wa dawa hizo haramu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miezi mitatu mwathirika dawa za kulevya

Mtoto mwenye umri wa miezi mitatu, mkazi wa Buza, Dar es Salaam amebainika kuwa mwathirika wa dawa za kulevya.

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA JACKIE CHAN ASHITAKIWA KWA DAWA ZA KULEVYA

Jackie Chan akiwa katika pozi na mwanaye Jaycee Chan (kulia). MTOTO wa staa wa filamu nchini Marekani, Jackie Chan, Jaycee Chan (32), ameshtakiwa kwa kosa la kuwakingia kifua watumia madawa ya kulevya nchini China. Jaycee Chan.…

 

10 years ago

Vijimambo

TMF, UN YATOA VYETI KWA WANAHABARI WAANDISHI WA HABARI ZA DAWA ZA KULEVYA

Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti. Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti chake katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti. Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti...

 

10 years ago

Bongo5

Polisi walikuta dawa za kulevya nyumbani kwa mtoto wa Whitney Houston, Bobbi Kristina

Familia ya mtoto wa kike wa marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina imethibitisha kuwa polisi walikuta dawa za kulevya nyumbani kwake baada ya kurudi kwa mara ya pili kufanya ukaguzi, TMZ imeripoti. Binti huyo mwenye miaka 21 alikutwa bafuni kwenye ‘bathtub’ Jumamosi iliyopita akiwa amepoteza fahamu. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, siku moja kabla ya […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya

Hakuna "uhusiano wa moja kwa moja" kati ya adhabu kali na hatua za kukomesha matumizi ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI YA KUSIKITISHA NA KUTISHA KUHUSU VIJANA WETU WANAOKWENDA CHINA NA HONGKONG KUUZA MADAWA YA KULEVYA SOMA HABARI KAMILI LIVE!

Mkurugenzi wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP), Godfrey Nzowa.Magareza mbalimbali ya China, Hong Kong na Macau yamefurika Watanzania wanaojihusisha na dawa za kulevya.Wanakuja kwa makundi. Wake kwa waume, vijana kwa wazee, wenye elimu na historia tofauti za kimaisha... lakini kilichowaleta China, Hong Kong na Macau ni kimoja tu; biashara ya dawa za kulevya. Hawa ni zaidi ya Watanzania 130 ambao wamefungwa katika magereza mbalimbali kwenye nchi za...

 

10 years ago

Mwananchi

Biashara ya dawa za kulevya

alum Zakwa ni mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kulevya. Hii ni biashara inayompatia fedha nyingi sana ambazo zimemfanya awe tajiri mkubwa katika jiji la Dar  es Salaam. Biashara hii ameifanya kwa siri kubwa na ni watu wachache wanaojua siri hii mbali na vijana wake wawili Vasco na Liston. Endelea kusoma …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani