Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Habari yazidi kuchanja mbuga SHIMIWI

01

Wachezaji wa mpira wa miguu kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaaduni na Michezo (waliovalia jezi nyeusi) wakisalimiamana na wachezaji wa Wizara ya maji (waliovalia jezi ya kijani) kabla ya mchezo wao uliochezwa katika nyasi za uwanja wa Mazimbu mjini Morogoro.

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Hoi hoi na nderemo zimepamba moto katika viwanja mbalimbali mkoani Morogoro wakati watumishi wa umma wakioneshana utaalamu katika michezo mbalimbali wakati wa mashindano ya SHIMIWI inayoendelea mjini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CCM YAZIDI KUCHANJA MBUGA KALENGA

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa akisalimiana na vijana na wananchi kwa jumla baada ya kuwasili leo katika kijiji cha Elandutwa, katika jimbo hilo, Iringa Vijijini kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akimnadi Mgimwa katika Kijiji cha Elandutwa, Iringa Vijijini, leo. Wananchi wa Kijiji cha Elandutwa, Iringa Vijijini wakionyoosha mikono kuahidi kumpa kura zote Mgomwa katika uchaguzi mdogo...

 

11 years ago

GPL

CHADEMA YAZIDI KUCHANJA MBUGA CHALINZE

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Bayport Financial Services yazidi kuchanja mbuga, yazindua tawi la 80 wilayani Ileje, mkoani Mbeya

TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo kwa watumishi wa wa umma na kampuni zilizoidhinishwa, mwishoni mwa wiki ilizindua tawi lake jipya la 80 wilayani Ileje, mkoani Mbeya, huku Mkuu wa wilaya hiyo, Rosemary Staki Senyamule, akiwataka wananchi wake kukopa kwa sababu maalum.Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Rosemary Senyamule kulia, akionyeshwa nyaraka za ofisi ya Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mambo ya mikopo...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA YAZIDI KUCHANJA MBUGA JIMBO LA BAHI,KESHO KUIVURUGA KONDOA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Misisi kata ya Misisi,wilayani Bahi mapema leo,mkoani Dodoma akiwa ziarani ndani ya jimbo la Bahi.
Ndugu Kinana amezungumza na wananchi hao waliokuwa wamebeba mabango na kuzuia msafara wake,kutokana na matatizo yaliyokuwapo katika kijiji hicho na kukosa ufumbuzi kwa muda mrefu.Wananchi hao walikuwa na lalamiko lao moja kubwa lililohusu shule yao ya msingi ya Msisi,ambayo madarasa yake mawili yaliezuliwa...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT- Wazalendo kuanza kuchanja mbuga kesho

Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amesema anasubiri kwa hamu kuweka rekodi ya kutwaa taji la Ligi Kuu Bara na timu hiyo akiwa kama kocha na mchezaji, rekodi ambayo haina mwenyewe hadi sasa klabuni hapo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtindo wa kitenge unavyozidi kuchanja mbuga kimataifa.?

Mavazi ya kitenge yamezidi kujiongezea umaarufu nchini. Wabunifu wa mavazi wamekuwa wakijitahidi kila kukicha kulipendezesha vazi hili na kuonekana katika mitindo tofauti tofauti.

 

11 years ago

Michuzi

masanja mkandamizaji azidi kuchanja mbuga akihubiri neno la Mungu

 Muigizaji  wa kundi la vichekesho la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa na wachezaji wake katika moja ya kazi zake za kuimba injili na kuhubiri neno la Mungu jijini Dar es salaam kwa mafanikio makubwa.  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akihubiri neno la Bwana

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA: MH. MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE

Ni mwana Diaspora Liberatus Mwang'ombe anaye onekana kuwa na mvuto wa kipekee kwenye mbioza kuelekea Dodoma. Mwang'ombe amekuwa akikusanya watu wengi sana hata akisimama kwenye vijiji vidogo ambavyo havina watu wengi. Pichani akiwa kwenye vijiji viwili vidogo ambavyo havina historia ya watu kuhudhuria mikutano ya kisiasa; lakini ilikuwa tofauti kwa Mh. Mwang'ombe
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana azidi kuchanja mbuga, atua jimbo la Iramba — Singida

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Iramba Magharibi wakati wa mapokezi katika kijiji cha Kiselya. Katibu Mkuu na msafara wake wameanza ziara katika wilaya ya Iramba kwa lengo la kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi  ya CCM 2010 pamoja na kukagua uhai wa chama.

unnamed (1)

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kubeba mawe ya ujenzi wa kituo cha afya cha Kiselya, wilaya ya Iramba kwa kushirikiana na viongozi wengine pamoja a wananchi.

unnamed (2)

Katibu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani