Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAFLA YA SIKU YA WANAWAKE ILIVYONOGA JIJINI DAR LEO

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akiambatana na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakati akikagua kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla ya Siku ya Wanawake,iliyofanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.. Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakipitia moja ya vitabu vya watoto vilivyotungwa na mmoja wa wanawake wa Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UWF kuandaa hafla ya family day machi 15 escape one jijini dar,wanawake wahamasishwa kushiriki siku ya mwanamke duniani

 Mchoro wa tuzo ya Mwanamakuka kama uonekanavyo pichani  Kushoto ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Umoja wa Wanawake Marafi (Unit of Women Friends).Bi Maryam Shamo akifafanua jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) pamoja na Washindi wa tuzo ya Mwanamakuka 2012/2013,kuhusiana na hafla yao wanayoitarajia kuifanya siku ya Wanawake Duniani mnamo Machi,15 mwaka huu,ambayo imepangwa kufanyika ndani ya kiota kipya cha maraha na burudani,Escape One...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

  Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.    Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali  wakiongozwa na Brass band yaJeshi la Polisi,wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake duniani 2020: Kwa picha wanawake walivyosherehekea jijini Dar es salaam

Ni wakati wa kizazi cha usawa katika maendeleo endelevu.

 

10 years ago

Michuzi

NIC YASHIRIKI MATEMBEZI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, JIJINI DAR

Baadhi ya washiriki wa Matembezi ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wakiwemo Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya matembezi yao hayo yaliyoanzia na kumalizikia katika hoteli ya Ledger iliyopo Bahari beach kupiti Kunduchi Beach Jijini Dar es Salaam jana.Washiriki wa Matembezi hayo wakiwa tayari kwa Matembezi.Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Mwanaidi Shemweta (kushoto) akiwa na baadhi ya watoto wa Kituo...

 

9 years ago

CCM Blog

VIDEO MBALIMBALI, WAKATI WA HAFLA YA DK. MAGUFULI NA MAMA SAMIA KUKABIDHIWA VYETI YAO VYA USHINDI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

1. Hafla ya kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam; Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015; BOFYA HAPA 
2. MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato wa uchaguzi mkuu mwaka 2015;
BOFYA HAPA 
3. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu, Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais 2015;
 BOFYA...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wengi wajitokeza katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili dhidi ya Wanawake Jijini Dar

Maelfu wajitokeza katika maandamano ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, hapa wakiendelea na matembezi ya kupinga ukatili wa Kijinsia.

Maandamano yakipokelewa na Mkurugenzi wa shirika la misaada la Marekani USAID  Daniel Moore, Mwakilishi wa Balozi wa Ireland nchini Maire Matthews, Mwakilishi kutoka shirika la Umoja wa Mataifa Wanawake Lucy Melele, Mkurugenzi wa shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo barani Afrika – WiLDAF, Dr. Judith Odunga, pamoja na wawakilishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WiLDAF) LAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DAR

Wanaharakati kutoka shirika la WiLDAF wakiwa katika maandalizi ya matembezi ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliayoanzia viwanja vya Mnazi mmoja na kuishia katika Ukumbi wa Karimjee hapo jana.Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam hapo janaMaandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipokelewa na Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA AHUTUBIA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA LEO JIJINI DAR

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwasalimia baadhi ya Wanawake wanaounda Baraza la Wanawake wa Chadema, waliokuwa wamefurika kwa wingi nje ya Jengo la LAPF, Kijitonyama jijini Dar es salaam, wakati walipowasili kwa kuhutubia Baraza hilo.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani