Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWF kuandaa hafla ya family day machi 15 escape one jijini dar,wanawake wahamasishwa kushiriki siku ya mwanamke duniani

 Mchoro wa tuzo ya Mwanamakuka kama uonekanavyo pichani  Kushoto ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Umoja wa Wanawake Marafi (Unit of Women Friends).Bi Maryam Shamo akifafanua jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) pamoja na Washindi wa tuzo ya Mwanamakuka 2012/2013,kuhusiana na hafla yao wanayoitarajia kuifanya siku ya Wanawake Duniani mnamo Machi,15 mwaka huu,ambayo imepangwa kufanyika ndani ya kiota kipya cha maraha na burudani,Escape One...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wanawake wahamasishwa kushiriki siku ya mwanamke duniani

Mjumbe wa Mradi wa Mwanamakuka (Mwanamakuka Awards) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania,Bi. Margareth Chacha akisisitiza jambo mbele ya washindi wa Mwanamakuka mwaka 2012 na 2013 alipokuwa akiongelea siku ya wanawake duniani tarehe 15 mwezi ujao mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Wanawake Marafiki (Unit of Women Friends),Bi Maryam Shamo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake wahamasishwa kushiriki Siku ya Mwanamke

WANAWAKE nchini wamehamasishwa kushiriki Siku ya Wanawake Duniani itakayoadhimishwa Machi 15 jijini Dar es Salaam na kujadili masuala mbalimbali ya kumwezesha mwanamke. Mjumbe wa Mradi wa Mwanamakuka (Mwanamakuka Award) ambaye...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ITAKAYOFANYIKA MACHI, 7, 2015 MLIMANI CITY JIJINI DAR.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark,  Antu Mandoza na Nuru Lyau. Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

UWF YATOA MSAADA OCEAN ROAD SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa akikusanya misaada waliyokuwa wakitoa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kutoa msaada kwa wanawake ikiwa ni kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika hivi karibuni.  
Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa na wanaumoja wenzake wakiingia hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kutoa msaada kwa wanawake ikiwa ni kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika hivi karibuni....

 

10 years ago

GPL

UWF YATOA MSAADA OCEAN ROAD SIKU YA WANAWAKE DUNIANI‏

  Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa akikusanya misaada waliyokuwa wakitoa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es…

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake Duniani: Ilikuwaje Machi 8 ikawa Siku ya Wanawake Duniani

Tunaangazia siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka kuanzi jinsi siku hii muhimu iliyobuniwa zaidi ya karne moja ilyopita.

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA SIKU YA WANAWAKE ILIVYONOGA JIJINI DAR LEO

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akiambatana na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakati akikagua kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla ya Siku ya Wanawake,iliyofanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.. Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakipitia moja ya vitabu vya watoto vilivyotungwa na mmoja wa wanawake wa Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake duniani 2020: Kwa picha wanawake walivyosherehekea jijini Dar es salaam

Ni wakati wa kizazi cha usawa katika maendeleo endelevu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani