Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Haile Gebrselassie astaafu riadha

Haile Gebrselassie ametamka bayana kustaafu mbio za ushindani ,Haile ana umri wa miaka arobaini na miwili asili yake ni Ethiopia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

Haile Gebrselassie's career in pictures

Haile Gebrselassie's career highlights in pictures

 

10 years ago

BBC

Haile Gebrselassie: From athletics to the boardroom

Haile Gebrselassie on his move from athletics to the boardroom

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015

Klabu ya michezo ya riadha ya Dar Es Salaam “Dar Running Club” (DRC) imeandaa mashindano  ya  mbio yajulikananyo kama “Mayday marathon” yatakayofanyika tarehe 02Mei 2015 yatakayoanza na kumalizika katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay (Police Officers Mess). Mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania  Inspekta Generali wa Police Ernest Jumbe Mangu (IGP).
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...

 

11 years ago

Habarileo

Zanlik yatoa huduma bure Bustani ya Haile Selasie

KAMPUNI ya Mawasiliano ya mtandao wa intaneti ya Zanlik imeanza kutoa huduma bure za kujisomea kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika eneo la bustani mbele ya Shule ya Sekondari ya Haile Selasie mjini hapa.

 

5 years ago

BBC

Gebrselassie 'heartbreak' over coronavirus impact

Athletics legend Haile Gebrselassie on the impact on competitors of sports events being cancelled.

 

10 years ago

BBC

Running great Gebrselassie retires

Two-time Olympic champion Haile Gebrselassie retires from competitive running, bringing to an end his 25-year career.

 

5 years ago

BBC

Coronavirus: Gebrselassie donates to Ethiopian fund

Ethiopian athletics legend Haile Gebrselassie donates nearly $50,000 to a committee set up to fight the spread of coronavirus in his homeland.

 

10 years ago

BBCSwahili

Li Na astaafu tenisi

Mchezaji nambari moja wa Tennis nchini China LI Na amestaafu

 

10 years ago

GPL

MCHEZAJI TENISI LI NA ASTAAFU

Li Na. MCHEZAJI wa kwanza wa tenisi nchini China kushinda mashindano ya Grand Slam, Li Na, amestaafu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu. Li, mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni staa namba 6 kwa mchezo huo duniani, alisema kuwa anaondoka katika mashindano ya tenisi kwa sababu ya majeraha ya muda mrefu, hasa kwenye magoti yake. Alishinda Grand Slams mara mbili - Frenc Open mwaka 2011 na Australian Open mwaka huu....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani