Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAIWEZEKANI JELA IWE HAIMUITI CHID BENZ!

HUYU jamaa ni shiiida! Ninaandika kwa mara ya pili kuhusu ujinga wa huyu staa, mmoja kati ya vijana wanaojua sana kurap, lakini bahati mbaya sana hajui thamani yake, anaitwa Rashid Makwiro lakini wengi tukimtambua kama Chid Benz. Dogo mzaliwa wa Dar es Salaam, pale Ilala, anajua kazi yake ya muziki, lakini kitu kimoja ambacho ameshindwa kabisa kukitambua katika umri wake mkubwa, ni kuhusu nafasi yake kwa jamii inayomzunguka....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAY C: CHID BENZ ATAOZEA JELA

Stori: Musa Mateja
NYOTA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye hivi karibuni aliripotiwa kupokea kipigo cha maana kutoka kwa msanii mwenzake, Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz, ameibuka na kudai kuwa atahakikisha rapa huyo anaozea jela kwa kitendo hicho alichomfanyia. Nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. Akizungumza na gazeti hili, Ray C alisema amejikuta akipatwa na dhamira...

 

10 years ago

Mwananchi

Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela

Msanii Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela

 

10 years ago

Bongo5

Chid Benz na Fid Q kufanya album ya pamoja, Chid aizungumzia project hiyo

Wakali wa Hip Hop Tanzania Rashid na Fareed a.k.a Chid Benz na Fid Q wana mpango wa kurekodi album ya pamoja. Chid ambaye ameachia ngoma mpya wiki hii ‘Kimbiza’, ameiambia 255 ya XXL ya Clouds Fm kuwa mpango wa kufanya album na Fid lilikuwa ni wazo lake. “Ni idea yangu nilikuwa nayo kabla sijatoa ngoma, […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Chid Benz huru mtaani

DSC_1015

Na modewji blog team

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema ya leo imemwachia huru  mwanamuziki Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ (pichani) baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya. 

Chid Benz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na madawa ya kulevya, ikiwemo misokoto ya bangi. Mwanamuziki huyo ambaye alikiri kosa hilo wiki iliyopita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa anajitayarisha kupanda...

 

10 years ago

Mwananchi

Chid Benz atimuliwa mahakamani

Msanii  wa muziki wa hip hop nchini, Rashid Makwaro ‘Chid Benz’ jana alizuiwa na askari kuingia ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam  kwa sababu ya mavazi na mapambo yake mwilini.

 

10 years ago

GPL

KESI YA CHID BENZ YAHIRISHWA

 Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu (Picha na Maktaba). Hakimu mahakama ya Kisutu, Waliarwande Lema ameahirisha kesi ya mwanamuziki, Chid Benz mpaka Des 1, 2014 kwa vile upelelezi haujakamilika.

 

10 years ago

Daily News

Chid Benz remanded in custody


Chid Benz remanded in custody
Daily News
FAMOUS local hip-hop musician Rashid Abdallah Makwiro, alias Chid Benz (29), was remanded in custody by the Kisutu Resident Magistrate's Court, after failing to meet bail conditions. The gruff-voiced rapper, who is behind hits like 'Dar es Salaam Stand ...

 

11 years ago

GPL

CHID BENZ NA USTAA PORI

NI bwana mdogo, lakini ana mwili mkakamavu wenye kumuonyesha kama kijana mwenye ubavu. Ana sauti nzuri ya kukwaruza akiwa nyuma ya Mic, ambayo kwa mashabiki wa Hip Hop za Kimarekani, wanaweza kumlinganisha na rapa Ja Rule! Namzungumzia Rashid Makwiro, maarufu kama Chid Benz, mtoto wa Ilala Maflet, aliyeingia katika anga la Bongo Fleva miaka michache iliyopita na kuteka mashabiki wengi kutokana na uwezo wake mkubwa wa kurap....

 

10 years ago

GPL

KESI YA CHID BENZ YAAHIRISHWA

Mahakama ya Kisutu imeahirisha  kesi ya mwanamuziki Chid Benz dhidi ya dawa za kulevya mpaka Februari  26.  Mwanamuziki huyo alikamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akijitayarisha kupanda ndege kwenda Mbeya kwenye tamasha la muziki.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani