Haki na wajibu wa mfanyakazi II
Haki ya kupata mapumziko ya uzazi Hakuna mfanyakazi aliyejifungua atakayefanya kazi ndani ya wiki sita tangu ajifungue isipokuwa kwa ruhusa ya daktari. Mfanyakazi aliyejifungua ana haki ya kuendelea na kazi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Fahamu haki na wajibu wa mfanyakazi kisheria
Huwezi kudai kitu ambacho hufahamu kuwa kipo na hata kama unajua kipo hujui kinapatikanaje na hata kama unajua kinavyopatikana hujui nani anawajibika kukupatia.
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Abiria wana haki ya kujua wajibu, haki zao
WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini, bado hawajatambua haki na wajibu wao wawapo safarini. Hiyo yote inatokana na kutokufahamu wapi wapeleke malalamiko yao. Lakini makala hii...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-6.jpg)
Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu
![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s640/1-6.jpg)
Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Fahamu haki, wajibu wa mwanahisa kisheria
Haki na wajibu ni sawa na pande mbili za sarafu moja. Ili iwepo haki lazima wajibu uwepo. Kwa hiyo ni muhimu sana mwanahisa ukafahamu wajibu wako ili upate uhalali na nguvu za kutosha za kudai na kuzisimamia haki zako.
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Haki na wajibu wako katika mkataba (3)
Mkataba wowote ni lazima uwe na haki kwa upande mmoja na wajibu kwa upande mwingine. Mtu anapoingia katika mkataba anatarajia kuwa atatimiza wajibu wake na mwenzake atatimiza wajibu wake ili kila mmoja apate haki yake.
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Fahamu haki, wajibu katika ardhi unayomiliki
Watu wengi wameonewa, kudhulumiwa na kunyanyaswa katika ardhi zao wenyewe kwa sababu ya kutojua haki na wajibu wao.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U9cJ436L1lc*GpfrSE*PMLAS47V50MiOEPSDqMFBLsCLH*SEHTFRUdsluW*Cpot-Oc-jA7KEmPJqJThy7czioQWpiBS-U8Bh/Mwenyekiti.jpg?width=650)
KILA MMOJA AFAHAMU HAKI NA WAJIBU WA MPIGA KURA
Jaji Damian Lubuva. NIMSHUKURU Mungu kwa kuniweka salama na kuja kuzungumza nanyi kwa njia hii ya maandishi. Mchakato wa uchuguzi wa viongozi kuanzia rais, wabunge na madiwani kwa njia ya kidemokrasia hufanywa kwa njia ya kupiga kura.Huu ndiyo wakati ambao kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na zaidi hushiriki kuchagua viongozi wa kushika madaraka ya dola na uakilishi kwa kipindi cha miaka 5 kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya...
11 years ago
MichuziWafanyakazi Ruvuma watakiwa kutimiza wajibu na kisha kudai haki
Na Nathan Mtega wa demashonews,Songea
SERIKALI ya mkoa wa Ruvuma imeendelea kuwasihi wafanyakazi wa sekta zote nchini wasijenge zaidi utamaduni wa kudai haki bila kutimiza wajibuwao kwanza kwa sababu kauli mbiu za vyama vingi vya wqafanyakazi kikiwemo chama cha walimu nchini ambacho kauli mbiu yake ni wajibu na haki.
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo,Mh. Abdula Lutavi
-----------------
Kauili hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Namtumbo Abdula Lutavi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma...
5 years ago
MichuziRC SINGIDA DK.NCHIMBI: NI WAJIBU WA SERIKALI KULINDA HAKI NA MALI ZA RAIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-g-t23m67l70/XuYYiU0jR6I/AAAAAAAAlFw/9L0CxGvxAaEVbFzsm5pUMkgZdy-SKT9lACLcBGAsYHQ/s640/2.png)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania