Haki na wajibu wako katika mkataba (3)
Mkataba wowote ni lazima uwe na haki kwa upande mmoja na wajibu kwa upande mwingine. Mtu anapoingia katika mkataba anatarajia kuwa atatimiza wajibu wake na mwenzake atatimiza wajibu wake ili kila mmoja apate haki yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Fahamu haki, wajibu katika ardhi unayomiliki
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Abiria wana haki ya kujua wajibu, haki zao
WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini, bado hawajatambua haki na wajibu wao wawapo safarini. Hiyo yote inatokana na kutokufahamu wapi wapeleke malalamiko yao. Lakini makala hii...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-6.jpg)
Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu
![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s640/1-6.jpg)
Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
10 years ago
Raia Tanzania16 Jul
Kijana ni wajibu wako, sababu ndiyo kesho yako
Ukiuliza watu mtaani Siasa ni nini? bila kusita watakuambia, Siasa ni wongo, ushirikina, utapeli, ni lugha ya mficho yenye maana ya uovu, uongo na laana. Tafsiri hii ya neno siasa imesababisha kutokea kwa makundi mawili, kundi la kwanza ni la watu ambalo ndio kundi kubwa wanaichukia na kujitenga na siasa na kundi dogo la watu wanaipenda na kuikumbatia.
Mjadala huu utajikita zaidi katika kuangalia kundi hili kubwa la watu ambao wanaichukia na kujitenga na siasa. Takwimu zinaonyesha kuwa...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Haki na wajibu wa mfanyakazi II
Haki ya kupata mapumziko ya uzazi Hakuna mfanyakazi aliyejifungua atakayefanya kazi ndani ya wiki sita tangu ajifungue isipokuwa kwa ruhusa ya daktari. Mfanyakazi aliyejifungua ana haki ya kuendelea na kazi...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Fahamu haki, wajibu wa mwanahisa kisheria
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Fahamu haki na wajibu wa mfanyakazi kisheria
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U9cJ436L1lc*GpfrSE*PMLAS47V50MiOEPSDqMFBLsCLH*SEHTFRUdsluW*Cpot-Oc-jA7KEmPJqJThy7czioQWpiBS-U8Bh/Mwenyekiti.jpg?width=650)
KILA MMOJA AFAHAMU HAKI NA WAJIBU WA MPIGA KURA
5 years ago
MichuziRC SINGIDA DK.NCHIMBI: NI WAJIBU WA SERIKALI KULINDA HAKI NA MALI ZA RAIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-g-t23m67l70/XuYYiU0jR6I/AAAAAAAAlFw/9L0CxGvxAaEVbFzsm5pUMkgZdy-SKT9lACLcBGAsYHQ/s640/2.png)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10