Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kijana ni wajibu wako, sababu ndiyo kesho yako

Ukiuliza watu mtaani Siasa ni nini? bila kusita watakuambia, Siasa ni wongo, ushirikina, utapeli, ni lugha ya mficho yenye maana ya uovu, uongo na laana. Tafsiri hii ya neno siasa imesababisha kutokea kwa makundi mawili, kundi la kwanza ni la watu ambalo ndio kundi kubwa wanaichukia na kujitenga na siasa na kundi dogo la watu wanaipenda na kuikumbatia.

Mjadala huu utajikita zaidi katika kuangalia kundi hili kubwa la watu ambao wanaichukia na kujitenga na siasa. Takwimu zinaonyesha kuwa...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Haki na wajibu wako katika mkataba (3)

Mkataba wowote ni lazima uwe na haki kwa upande mmoja na wajibu kwa upande mwingine. Mtu anapoingia katika mkataba anatarajia kuwa atatimiza wajibu wake na mwenzake atatimiza wajibu wake ili kila mmoja apate haki yake.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 KESHO NDIYO KESHO TAIFA

SIKU iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani mbalimbali imewadia ambapo kesho Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa patakuwa hapatoshi wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini litakapokuwa likichukua nafasi. Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli. Akizungumza na Centre Spread, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema kuwa maandalizi yote yameshafanyika na tayari mkali wa muziki kutoka Nigeria...

 

11 years ago

GPL

KESHO NDIYO KESHO DAR LIVE

BONANZA LA JOGGING & BREAKING NEWS… KESHO ndiyo kesho! Bonanza la Jogging na Global Breaking News 15778 linachukua nafasi kwa kukutanisha michezo ya jogging, mpira wa miguu, netiboli, kuvuta kamba, bao la kete, drafti, karate na mingine mingi.  
Bonanza hilo la bure litafanyika kwa kuanza na mbio za jogging zitakazoanzia katika Uwanja wa Taifa hadi Uwanja wa Mbagala-Zakhem kutakapofanyika baadhi ya michezo huku...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?-2

KARIBUNI katika Let’s Talk About Love. Bila shaka mu wazima wa afya. Tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita. Somo hili ni muhimu sana kwa wapendanao kujua ahadi ambazo zinaweza kuwa na nakshi katika mapenzi na zile ambazo huleta migogoro katika uhusiano. Niliacha kwa kueleza machache wiki iliyopita. Ahadi zenyewe ni zipi na zinakuwaje? Tuendelee na somo letu? UWEZO WA FAMILIA
Baadhi ya wanaume wanapokutana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mlo wako ni tafsiri ya ubora wa afya yako

>Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) amekuwa na mwonekanano wa tofauti kwa sasa; amepunguza mwili wake kwa kiasi fulani.

 

11 years ago

GPL

UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?

BILA shaka ni wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Nawashukuru sana kwa kuchagua kusoma safu hii maana hakuna kitakachopotea, zaidi mtaongeza ujuzi juu ya uhusiano na mapenzi. Mada ya wiki iliyopita ilikuwa na changamoto sana kwa wasomaji, nilipokea simu, waraka pepe na ujumbe mfupi wa maneno kwa wingi sana kutoka kwa wasomaji mbalimbali wakichangia mada ambayo kimsingi ilizungumzia zaidi wanawake....

 

10 years ago

GPL

YANAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi.
Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilikuwa na kazi kubwa ya kumshauri...

 

10 years ago

GPL

UVIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA-3

Kwa mwanamke ni hatari zaidi, kwani kwa wanaume wasio na uvumilivu, mwisho wa siku huishia kubakwa. Hata hivyo, mara nyingi hiyo haiishii hapo, tatizo hukua zaidi na zaidi kulingana na jinsi mgogoro wa kuwekeana ‘kauzibe’ unavyoshamiri ndani ya nyumba. Ukiweza kumudu kumfurahisha mwenzi wako, anachokihitaji ukimpa kwa wakati. Maana yake atazidi kukuona lulu. Kila akiwa na wewe atajiona yupo huru kuomba huduma wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani