Haki ya mtoto kufanya kazi
Leo tumeona tuzungumzie suala la kazi kwa watoto kama lilivyoanishwa na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009. Kwanza kabisa Sheria hii inatambua umuhimu wa mtoto kufanya kazi pale inapotamka, ‘Mtoto atakuwa na haki ya kufanya kazi nyepesi na kuwa mtoto ana haki ya kulipwa ujira kulingana na thamani ya kazi aliyofanya’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRC SINGIDA AWATAKA WAJUMBE WA JUKWAA LA HAKI JINAI KUFANYA KAZI KWA UMOJA NA UZALENDO
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Bw. Biswalo Mganga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Mahakama na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto kwake) baada ya kuzindua Jukwaa la Haki Jinai hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Bw. Biswalo Mganga (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi, baada ya kuzindua Jukwaa la Haki Jinai hivi karibuni.
Na Ismail Luhamba, Singida
AKIWA kwenye ziara ya kikazi mkoani Singida...
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker
Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.
Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.
Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
JB:Baada kufanya kazi na Thea, Wastara na Wellu, pendekeza nani tufanyenae kazi tena?..soma vigezo
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni, tumeona sio mbaya kulukuletea hapa na wewe uchangie. Nakuu;
“Wakati naanda mzee wa swaga niliomba mapendekezo mkachagua wengi hatimaye tukawapata Thea,Wastara na Wellu nakubali mapendekezo yenu sana.
Lakini sera ya kampuni ni kujaribu kuwapa nafasi wasanii ambao wana majina lakini sio makubwa ila wana vipaji ili tutengeneze mastaa wengi.
Swali safari hii tumpe nani nafasi ambae unaona anakipaji lakini...
11 years ago
Habarileo10 Oct
'Wazazi zingatieni haki za mtoto'
WAZAZI na walezi wa watoto wamehimizwa kuzingatia haki za mtoto katika malezi yao kuanzia ngazi ya familia kwa kuwapa stahili zote muhimu zinazotajwa katika Katiba, sheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeiridhia.
11 years ago
Tanzania Daima12 Sep
‘Mtoto apate haki ya kumfahamu baba’
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Ezekiel Oluoch, ametaka katiba mpya iweke kipengele cha haki ya mtoto kumfahamu baba yake mzazi. Akichangia mjadala wa jumla kuhusu ibara za sura za...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Wajumbe wanawake wasisitiza haki ya mama na mtoto
9 years ago
Michuzi
VYOMBO HABARI VIMECHANGIA KUFANYA UCHAGUZI KUWA WAZI NA HAKI NA HURU —NEC


11 years ago
Dewji Blog18 Aug
Serikali yajizajititi kusimamia haki za mtoto na marekebisho ya tabia
Afisa Ustawi wa Jamii Mkuu toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Steven Gumbo (kushoto) akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) Kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kusimamia haki za mtoto na marekebisho ya tabia leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Nsachris Mwamwaja (kulia) akikanusha taarifa zilizo ripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...
10 years ago
StarTV05 Dec
Tanzania yakiuka Mkataba wa Kimataifa wa haki ya mtoto Gerezani.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Licha ya Tanzania kusaini Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto, CRC, unaozuia kuwachanganya watoto na watu wazima gerezani lakini bado kuna watoto wengi wanaokaa magerezani kote nchini kinyume na mkataba huo.
Mbali na kuridhia Mkataba huo wa Kimataifa, Tanzania pia imeunda Sheria ya Mtoto namba 21 ya mwaka 2009 ili kulinda haki za mtoto lakini bado juhudi hizo hazijafanikiwa kuondoa uwezekano wa watoto kuishi magerezani kinyume na matakwa ya...