Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA MUHIMU KWA MAENDELEO - WAZIRI MIGIRO

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Jan Eliasson akifungua majadiliano kuhusu mchango wa haki za binadamu na utawala wa sheria katika kuunga mkono juhudi za kitaifa na kimataifa na nafasi yake katika suala zima la maendeleo endelevu baada ya 2015. Naibu Katibu Mkuu alimtambulisha Waziri Migiro kama mtangulizi wake na katika hotuba yake alinukuu baadhi ya maneno ambayo Mhe. Migiro aliwahi kuyazungumza kuhusiana na masuala ya utawala wa sheria wakati huo akiwa Naibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MAHIGA


Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa mshituko mkubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb) kilichotokea leo alfajiri Mei 01, 2020 Jijini Dodoma.
Tume inatoa pole kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuondokewa na kiongozi  mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na mwanadiplomasia mahiri aliyeiwakilisha na kuipigania Tanzania katika nyanja za Kimataifa...

 

9 years ago

Michuzi

Ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa ZEC

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yaanza kuchunguza tukio la kukamatwa kwa wananchi walioshiriki mkutano wa CUF

Untitled 1

Tume imesikitishwa na matukio yaliyotokea tarehe 27/01/2015 huko Mbagala Wilaya ya Temeke Dar-es-Salaam, matukio ambayo yameoneshwa na Kituo cha Televisheni cha “Channel Ten” ambayo yameashiria uvunjifu wa haki za binadamu.

Mnamo majira ya saa kumi na robo hadi kumi na nusu jioni, Kituo cha TV cha “Channel Ten” kilirusha picha zilizoonesha kupigwa na Polisi baadhi ya wananchi waliokamatwa kwa kile kilichoelezwa kushiriki mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF) uliosemekana kuwa si halali.

Tume...

 

9 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika sherehe ya kumuaga mara baada ya kumaliza uongozi wake katika Serikali ya awamu ya nne. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Tom Nyanduga katika Sherehe iliyoandaliwa na Tume ya kumuaga mara baada ya kumaliza Uongozi wake.

 

9 years ago

Michuzi

TAMKO LA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA


TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Kitalu Na. 8, Mtaa wa Luthuli

S.L.P 2643, DAR ES SALAAM

Simu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222

Faksi: +255 22 2111281

Barua Pepe: chragg@chragg.go.tz

Tovuti: www.chragg.go.tz


Oktoba 23, 2015


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI               Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuhusu umuhimu wa kuzingatia sheria kwa ajili ya Uchaguzi Huru, wa Haki na Amani


TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)  imekuwa ikifuatilia kwa karibu matamshi...

 

9 years ago

Michuzi

JK AAGANA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora mara baada ya kuwasili katika ofisi yao.
 Baadhi ya viongozi wa Serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Baadhi ya wafanyakazi  wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Sherehe ya kumuaga baada ya kumaliza uongozi wake katika serikali ya awamu ya nne. Mwenyekiti wa Tume ya Haki...

 

11 years ago

Michuzi

IGP AFUNGUA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiongozana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Issaya Mngulu wakati alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mafunzo ya Haki za binadamu na Utawala bora yaliyokuwa yakiwashirikisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa, Wilaya na Waendesha Mashtaka wa Sertikali, Mjini Dodoma jana Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akizungumza na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Issaya Mngulu kabla ya kufungua...

 

10 years ago

Habarileo

JK ateua Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Bahame Nyanduga kuwa Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani