Halima Mdee amkana Mkono asema hakulishwa sumu
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono kusema amelishwa sumu akiwa London, Uingereza, Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee amemtaka kusema ukweli na si kulihadaa Taifa kwa uongo.Mkono akizungumza na waandishi wa habari juzi kuelezea mwenendo wa afya yake, alisema lengo la kulishwa sumu ilikuwa ni kutaka kuharibu figo zake ndani ya saa 72 kitendo kilichoshindikana.Mdee aliyekuwa na Mkono katika ziara hiyo alisema:...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Halima Mdee amkana Mkono
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Halima Mdee aachiwa, asema hakuna kulala
10 years ago
Mwananchi23 Oct
JK amkana Werema, asema Kura ya Maoni Aprili, 2015
10 years ago
Habarileo08 Oct
Halima Mdee rumande
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (35) na wanachama wenzake wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha taratibu za dhamana katika kesi inayowakabili ya kutotii amri halali ya Polisi na kufanya mkusanyiko bila kibali.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
JK amzimia Halima Mdee
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), jana aligeuka kivutio kikubwa katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Mdee,...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Halima Mdee ngangari
JESHI la Polisi jana lilitembeza mkong’oto na kuwakamata makada na viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wakiandamana kwenda Ikulu Mwenyekiti wa Bawacha, Halima...
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Halima Mdee akamatwa Dar
10 years ago
Mtanzania10 Jun
RC Gama amjibu Halima Mdee
NA RODRICK MUSHI, MOSHI
SIKU moja baada ya Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee (Chadema), kumlipua Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, akidai kuwa amekuwa dalali wa viwanja, hatimaye amejibu mapigo na kusema kusakamwa kwake kunatokana na msimamo wake dhidi ya wa wanywaji pombe wilayani Rombo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, alisema kauli ya Mdee imejaa siasa, hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, lakini hatorudi...
10 years ago
Daily News05 Oct
Halima Mdee in police custody
Daily News
Daily News
CHAIRPERSON of CHADEMA Women's Wing, Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), Halima Mdee was detained by police for several hours along with other eight members of the Wing for allegedly conducting an illegal demonstration outside State ...