Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halima Mdee aachiwa, asema hakuna kulala

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee (35) jana alipata dhamana baada ya kulala mahabusu kwa siku moja na muda mfupi kabla ya kuondoka katika Mahakama ya Kisutu, alisema: “Mapambano yanaendelea, hakuna kulala hadi kieleweke.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Halima Mdee amkana Mkono asema hakulishwa sumu

Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono kusema amelishwa sumu akiwa London, Uingereza, Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee amemtaka kusema ukweli na si kulihadaa Taifa kwa uongo.Mkono akizungumza na waandishi wa habari juzi kuelezea mwenendo wa afya yake, alisema lengo la kulishwa sumu ilikuwa ni kutaka kuharibu figo zake ndani ya saa 72 kitendo kilichoshindikana.Mdee aliyekuwa na Mkono katika ziara hiyo alisema:...

 

9 years ago

Dewji Blog

NYALANDU AHUTUBIA WANANCHI: Ni katika kampeni Kata ya Ikhanoda jimbo la Singida Kaskazini, asema hakuna kulala mpaka kieleweke

 

 

NYALANDU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akihutubia wananchi wa kijiji cha Ikhanoda Jimbo la Singida Kaskazini wakati wa Mkutano wa Kampeni wa kujinadi na kumnadi Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli sanjari na Diwani wa Kata hiyo Hinga Mnyawi jana.

LAZARO

 Nyalandu kihutubia mkutano kijiji cha ikhanoda.

BI. MZIKI

Mmoja wa wabibi wa kijiji cha Ikhanoda akicheza mziki wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu.

BIBI

Bibi: bibi akicheza mziki wakati wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hakuna kulala

WIKI tatu kabla ya kuhitimishwa kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu, vyama vyenye ushindani mkubwa Chama

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Hakuna kulala leo

Mechi kubwa ya wiki, labda ni mechi kubwa zaidi ya mwezi huu ya Ligi Kuu England itachezwa leo usiku kwenye Uwanja wa Etihad mjini Manchester.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Hakuna kulala

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema hakutakuwa na muda wa kupoteza iwapo atachaguliwa akisema ataanza kushughulikia ahadi zote ikiwamo ya ujenzi wa viwanda kwa ajili ya kutatua tatizo la ajira mara tu baada ya kuapishwa.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga hakuna kulala

ZIKIWA zimesalia takribani wiki mbili kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga wamepanga kujichimbia Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho. Kwa sasa timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo zipo mafichoni kujiweka sawa kabla kipute hakijaanza rasmi Septemba 12, mwaka huu kwa msimu wa 2015-16.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira: Hakuna kulala

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo atafanikiwa kuingia madarakani, Serikali yake itafanya kazi kwa staili ya ‘hakuna kulala’ kulinda haki ya wafugaji na wakulima na hatimaye kumaliza migogoro ardhi inayotokea baina yao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK amzimia Halima Mdee

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), jana aligeuka kivutio kikubwa katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Mdee,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani