Hamu ya kuona mwili wa Mandela
Maelfu ya watu walitizama huku jeneza la Mandela likipita katika barabara za Qunu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Dec
JK: Ulikuwa wakati mgumu kuona mwili wa Mandela
 Rais Jakaya Kikwete amesema amepata wakati mgumu alipouona mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi huyo.
11 years ago
BBCSwahili12 Dec
Siku ya pili heshima mwili wa Mandela
Waombolezaji nchini Afrika Kusini wanaingia siku ya pili katika zoezi la kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela.
11 years ago
BBCSwahili14 Dec
ANC watoa heshima kwa mwili wa Mandela
Wanachama wa Chama cha African National Congress (ANC) wametoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Hayati Nelson Mandela.
11 years ago
GPL
MWILI WA MANDELA WAPELEKWA KWENYE OFISI ZA SERIKALI
Wanajeshi wameubeba mwili wa hayati Mandela kuelekea ofisi za serikali jijini Pretoria. Mwanamitindo wa Uingereza, Naomi Campbell mbele ya jeneza la mwili wa Mandela.…
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba
Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma akizungumza na waandishi wa habari juzi, alisema kuwa Desemba 8 itakuwa siku ya sala na kukumbuka mambo aliyoyafanya Mandela
11 years ago
BBCSwahili29 Sep
Hamu ya kocha wa vijana Guinea
Kocha timu ya Guinea ya vijana walio chini ya miaka 17 anaamini kuwa timu hiyo ina uwezo wa kushiriki kombe la dunia la vijana
11 years ago
Mwananchi04 May
Kiu ya haki au hamu ya kubomu?
Kwa kuwa sisi kweli ni wafanyakazi, si waposholiwa wala walajasho la wengine, tuliamua kufanya kikao chetu maalumu huko sebuleni kwetu siku ya wafanyakazi. Kwa nini tusijipongeze baada ya mwaka mwingine mgumu kuliko majabali ya Mwanza? Na katika kujipongeza, labda tutaambulia moja au mawili.
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Mafuta yasubiriwa kwa hamu Turkana
Maandamano tayari yameshuhudiwa miongoni mwa wakaazi wa Turkana wanaodai hawajaona matunda ya kugunduliwa mafuta eneo hilo
10 years ago
GPL
KOLABO ZINASUBIRIWA KWA HAMU BONGO
Ben Pol na Avril. Andrew Carlos MUZIKI wa Bongo Fleva kila kukicha unazidi kupaa kimataifa na hii imeleta hamasa kwa wasanii wengi kupata upenyo wa kufanya kazi nyingi kwa kushirikiana na wanamuziki wa kimataifa.Zipo kolabo za wasanii wa Bongo walizozifanya na wasanii wengine wa kimataifa kama vile KCEE na Shetta, Diamond na Davido, Diamond na Mr Flavour na nyingine kibao ambazo zimefanya vizuri. Ali Kiba na Ne-Yo. Kwa hivi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania