HAMZA KALALA, NAY WA MITEGO WALIPOTEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS
Hamza Kalala ‘Komandoo Kalala' akifafanua jambo kwa Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli wakati wa mahojiano yao yatakayoruka Global TV Online hivi karibuni. Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' akila pozi ndani ya ofisi za Global kabla ya kuhojiwa na Global TV Online.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA NAY WA MITEGO
11 years ago
Mwananchi17 May
Simulizi ya Hamza Kalala ‘Komandoo’-1
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
HAMZA KALALA: Komando aliyevuka milima na mabonde
HAMZA Kalala ‘Komando’, ni mkongwe katika tasnia ya muziki hapa nchini, ambaye sifa zake zilianza kuzagaa wakati alipoanza kucharaza gitaa la solo kwa umahiri mkubwa. Alizaliwa mkoani Tanga na kusoma...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*fD5czNASWiiqree50sf0ypAyOCXdhSfjnwy9s-*Wd2hXVpMrg0xOxDerpQsPdmWWRtHZFd*h5KhP*IuJ*1PX1/HAMZA.jpg)
HAMZA KALALA: SERIKALI ITUPIE JICHO LA TATU MUZIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm-oZpE8dtDAQk7vUI02SKeBr0cE*ea9OkLaVHJZM7-F*tAFKhbYgeRqN18eMeEtQm-9q1tDSnK0UguC9t5cZ62U/HamzaKomandoo.jpg?width=650)
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...