Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAMZA KALALA: Komando aliyevuka milima na mabonde

HAMZA Kalala ‘Komando’, ni mkongwe katika tasnia ya muziki hapa nchini, ambaye sifa zake zilianza kuzagaa wakati alipoanza kucharaza gitaa la solo kwa umahiri mkubwa. Alizaliwa mkoani Tanga na kusoma...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

PAINE J: Msanii aliyevuka milima, mabonde

HAKIKA vijana wamedhamiria kuleta mageuzi makubwa katika tasnia ya muziki nchini katika hali ya kujiletea maendeleo yao wenyewe, tasnia husika na kuitangaza nchi kimataifa. Katika harakati hizo, kila kona utasikia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SAID MABELA: Bingwa wa solo aliyevuka mabonde na milima

HAKIKA wahenga walisema: “Ng’ombe hazeeki maini.” Haya maneno yamedhihirika kutoka kwa mpiga solo mkongwe  nchini kutoka Bendi ya Msondo Ngoma,  Said Mussa Mabela, maarufu kama ‘Mzee Mabela’. Licha ya mvi...

 

11 years ago

Mwananchi

Simulizi ya Hamza Kalala ‘Komandoo’-1

Kuna wanamuziki ambao wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia tasnia ya muziki, kwa kuufanya uvutie ndani na nje ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 80: Yanga imevuka milima, mabonde

Young Africans ‘Yanga’ yenye kaulimbiu, ‘Mbele Daima, Nyuma Mwiko’ ni  mabingwa wa kihistoria kwenye Ligi Tanzania Bara, ni timu pekee ya soka inayohusishwa na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika wakati wa utawala wa kikoloni.

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 50 ya michezo ya Afrika, Tanzania imepita mabonde, milima

Miaka 50 iliyopita, Tanzania ilishiriki kwa mara ya kwanza michezo ya Afrika, mkimbiaji wa kike wa wakati huo, Theresia Dismas ndiye alikuwa shujaa kwa kuibuka na medali pekee ya fedha ya kurusha mkuki.

 

11 years ago

GPL

HAMZA KALALA, NAY WA MITEGO WALIPOTEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS

Hamza Kalala ‘Komandoo Kalala' akifafanua jambo kwa Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli wakati wa mahojiano yao yatakayoruka Global TV Online hivi karibuni. Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' akila pozi ndani ya ofisi za Global kabla ya kuhojiwa na Global TV Online.…

 

11 years ago

GPL

HAMZA KALALA: SERIKALI ITUPIE JICHO LA TATU MUZIKI

Stori: Elvan Stambuli
GWIJI wa muziki wa dansi nchini Hamza Kalala ‘Komandoo’ au ‘Mzee wa Madongo’, ambaye pia ni Kiongozi wa Bendi ya Bantu Group ya jijini Dar es Salaam, aliyetembelea chumba chetu cha habari Bamaga Mwenge hivi karibuni, amesema serikali inapaswa kutupia jicho la tatu au kuuangalia muziki wa dansi nchini kwa kuwa unatoa ajira kwa vijana. Gwiji wa muziki wa dansi nchini Hamza Kalala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani