Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 50 ya michezo ya Afrika, Tanzania imepita mabonde, milima

Miaka 50 iliyopita, Tanzania ilishiriki kwa mara ya kwanza michezo ya Afrika, mkimbiaji wa kike wa wakati huo, Theresia Dismas ndiye alikuwa shujaa kwa kuibuka na medali pekee ya fedha ya kurusha mkuki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Miaka 80: Yanga imevuka milima, mabonde

Young Africans ‘Yanga’ yenye kaulimbiu, ‘Mbele Daima, Nyuma Mwiko’ ni  mabingwa wa kihistoria kwenye Ligi Tanzania Bara, ni timu pekee ya soka inayohusishwa na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika wakati wa utawala wa kikoloni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

PAINE J: Msanii aliyevuka milima, mabonde

HAKIKA vijana wamedhamiria kuleta mageuzi makubwa katika tasnia ya muziki nchini katika hali ya kujiletea maendeleo yao wenyewe, tasnia husika na kuitangaza nchi kimataifa. Katika harakati hizo, kila kona utasikia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

HAMZA KALALA: Komando aliyevuka milima na mabonde

HAMZA Kalala ‘Komando’, ni mkongwe katika tasnia ya muziki hapa nchini, ambaye sifa zake zilianza kuzagaa wakati alipoanza kucharaza gitaa la solo kwa umahiri mkubwa. Alizaliwa mkoani Tanga na kusoma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SAID MABELA: Bingwa wa solo aliyevuka mabonde na milima

HAKIKA wahenga walisema: “Ng’ombe hazeeki maini.” Haya maneno yamedhihirika kutoka kwa mpiga solo mkongwe  nchini kutoka Bendi ya Msondo Ngoma,  Said Mussa Mabela, maarufu kama ‘Mzee Mabela’. Licha ya mvi...

 

5 years ago

Michuzi

MAISHA YA MILIMA NA MABONDE YA NGULI WA MUZIKI WA NCHINI MAFUMU BILAL BOMBENGA HADI KIFO KILIPOMKUTA MEI 11 ,2020

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV 
PIGO kubwa limeipata familia ya muziki wa dansi nchini Tanzania baada ya nguli kwenye muziki huo Mafumu Bila Bombenga kufariki dunia jana Mei 11 mwaka huu wa 2020.
Kifo cha mwanamuziki huyo nguli ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wake wa kupuliza Saxaphone kimeacha majonzi na simanzi kubwa kwa wadau wa muziki huo nchini.
Enzi za uhai wake Mombenga amefanya kazi za muziki katika bendi mbalimbali za muziki wa dansi na hakika amejijengea heshima...

 

9 years ago

GPL

LUCKY DUBE; MIAKA 8 IMEPITA, BADO ANAKUMBUKWA

 Lejendari wa Reggae, marehemu Lucky Dube enzi za uhai wake. JANA Oktoba 18, ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka nane tangu kuuawa kwa lejendari wa Reggae, Lucky Dube, aliyeuawa nyumbani kwao Afrika Kusini ‘Sauz’ Oktoba 18, 2007.Lakini licha ya kupita miaka nane, nyimbo za gwiji huyo bado hazichoshi ukizisikiliza na anabaki kuwa kwenye kumbukumbu milele. Dube alitokea wapi? Dube alizaliwa Agosti 3, mwaka 1964 katika Mji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka minne imepita :Hatujui walipo Lemy na Zacharia

Ni msiba usiofutika. Pengine ndiyo maneno yanayofaa kuelezea tukio la familia ya watoto wenye ulemavu wa ngozi, Lemy Juma (12) na Zacharia Juma (6) waliotekwa na watu wasiojulikana miaka minane iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka minane imepita: hatujui walipo Lemy na Zacharia(2)

 Juma Charles anaendelea kueleza  kuwa baada ya tukio hilo alidhani watoto wake walipotea tu kawaida kutokana na kukimbilia kusikojulikana kwa hofu, lakini kadri siku zilivyozidi na matukio ya utekaji na mauaji ya albino kuzidi kuongezeka, hilo liliwatia hofu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani