Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka minane imepita: hatujui walipo Lemy na Zacharia(2)

 Juma Charles anaendelea kueleza  kuwa baada ya tukio hilo alidhani watoto wake walipotea tu kawaida kutokana na kukimbilia kusikojulikana kwa hofu, lakini kadri siku zilivyozidi na matukio ya utekaji na mauaji ya albino kuzidi kuongezeka, hilo liliwatia hofu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Miaka minne imepita :Hatujui walipo Lemy na Zacharia

Ni msiba usiofutika. Pengine ndiyo maneno yanayofaa kuelezea tukio la familia ya watoto wenye ulemavu wa ngozi, Lemy Juma (12) na Zacharia Juma (6) waliotekwa na watu wasiojulikana miaka minane iliyopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Baba wa miaka 54 aoa mtoto wa miaka minane

Polisi Wilaya ya Bunda, wanamshikilia baba mwenye umri wa miaka 54 kwa tuhuma kuoa mwanafunzi wa kike wa umri wa miaka minane.

 

10 years ago

GPL

LUCKY DUBE; MIAKA 8 IMEPITA, BADO ANAKUMBUKWA

 Lejendari wa Reggae, marehemu Lucky Dube enzi za uhai wake. JANA Oktoba 18, ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka nane tangu kuuawa kwa lejendari wa Reggae, Lucky Dube, aliyeuawa nyumbani kwao Afrika Kusini ‘Sauz’ Oktoba 18, 2007.Lakini licha ya kupita miaka nane, nyimbo za gwiji huyo bado hazichoshi ukizisikiliza na anabaki kuwa kwenye kumbukumbu milele. Dube alitokea wapi? Dube alizaliwa Agosti 3, mwaka 1964 katika Mji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 50 ya michezo ya Afrika, Tanzania imepita mabonde, milima

Miaka 50 iliyopita, Tanzania ilishiriki kwa mara ya kwanza michezo ya Afrika, mkimbiaji wa kike wa wakati huo, Theresia Dismas ndiye alikuwa shujaa kwa kuibuka na medali pekee ya fedha ya kurusha mkuki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Drummond miaka minane kutoshiriki riadha

Drummond ni Mkufunzi wa Mkimbiaji Tayson Gay, afungiwa miaka minane

 

9 years ago

Mwananchi

Blatter, Platini wafungiwa miaka minane

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter na Rais wa Shirikisho la Soka Barani la Ulaya, Michel Platini wamefungiwa kutojihusisha na shughuli za soka kwa miaka minane kutokana na uchunguzi maalumu uliofanywa na Kamati ya Maadili ya Fifa. Baada ya uchunguzi huo walikutwa na hatia rushwa ya kutoa na kupokea rushwa inayokadiliwa kuwa Pauni 1.3 milioni za ‘malipo hewa’ yaliyofanywa na Fifa yakihizinishwa na Blatter kwenda kwa Platini mwaka 2011.

 

11 years ago

Michuzi

LIBENEKE LA MJENGWABLOG LATIMIZA MIAKA MINANE LEO

Ndugu zangu,
LEO ni Septemba 19, ni Siku ya Kuzaliwa Mtandao wa Mjengwablog.
Kwa mwanadamu, hakupaswi kuwapo na ukomo wa kujitahidi kufanya yalo mema kwa jamii yako.
Na katika kujitahidi kuyafanya yalo mema, basi, mwanadamu uwe tayari kukumbana na changamoto nyingi. Na kama ilivyo kwa maji ya mto, yanapokutana na mwamba, basi, kasi yake huongezeka maradufu.
Leo blogu yako hii ya Mjengwablog imetimiza miaka minane. Miaka minane si haba. Kwa mtoto, aweza kuwa darasa la Pili. Na kwetu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ariel Sharon: Mbabe aliyepigania maisha miaka minane

>Sharon amefikwa na mauti akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kuugua kiharusi tangu mwaka 2006, wakati huo akiwa kwenye kilele cha maisha yake ya kisiasa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Happy Birthday Mjengwablog kwa kutimiza miaka minane na mzidi kusonga mbele!

mjengwablog11

Ndugu zangu,

LEO ni Septemba 19, ni Siku ya Kuzaliwa Mtandao wa Mjengwablog.

Kwa mwanadamu, hakupaswi kuwapo na ukomo wa kujitahidi kufanya yalo mema kwa jamii yako.

Na katika kujitahidi kuyafanya yalo mema, basi, mwanadamu uwe tayari kukumbana na changamoto nyingi. Na kama ilivyo kwa maji ya mto, yanapokutana na mwamba, basi, kasi yake huongezeka maradufu.

Leo blogu yako hii ya Mjengwablog imetimiza miaka minane. Miaka minane si haba. Kwa mtoto, aweza kuwa darasa la Pili. Na kwetu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani