Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUCKY DUBE; MIAKA 8 IMEPITA, BADO ANAKUMBUKWA

 Lejendari wa Reggae, marehemu Lucky Dube enzi za uhai wake. JANA Oktoba 18, ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka nane tangu kuuawa kwa lejendari wa Reggae, Lucky Dube, aliyeuawa nyumbani kwao Afrika Kusini ‘Sauz’ Oktoba 18, 2007.Lakini licha ya kupita miaka nane, nyimbo za gwiji huyo bado hazichoshi ukizisikiliza na anabaki kuwa kwenye kumbukumbu milele. Dube alitokea wapi? Dube alizaliwa Agosti 3, mwaka 1964 katika Mji wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

maximo bado anakumbukwa

Dakta Victor Stanculescu wa Romania, Tambwe Leya wa DRC Marcio Maximo  wa Brazil ni majina ya makocha ambayo hayatasahaulika nchini Tanzania. Victor alipata umaarufu kwa falsafa yake ya kukuza vipaji kwa vijana na akafanikiwa sana pale alipotengeneza nyota wengi kwa timu hiyo na Taifa Stars, Tambwe Leya anakumbukwa kwa falsafa yake ya nidhamu na bidii mazoezini. Maximo hatosahaulika kwa kuamsha ari ya soka na kuifanya Taifa Stars ipendwe na wananchi kama kwamba ni klabu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Siku ya walimu imepita, kero bado zingalipo

Oktoba 5, walimu wa Tanzania waliungana na wenzao duniani kote kuadhimisha siku ya kimataifa ya walimu.Kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu inachochea uwezeshaji kwa walimu kama wajenzi muhimu wa jamii endelevu.

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 50 ya michezo ya Afrika, Tanzania imepita mabonde, milima

Miaka 50 iliyopita, Tanzania ilishiriki kwa mara ya kwanza michezo ya Afrika, mkimbiaji wa kike wa wakati huo, Theresia Dismas ndiye alikuwa shujaa kwa kuibuka na medali pekee ya fedha ya kurusha mkuki.

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka minane imepita: hatujui walipo Lemy na Zacharia(2)

 Juma Charles anaendelea kueleza  kuwa baada ya tukio hilo alidhani watoto wake walipotea tu kawaida kutokana na kukimbilia kusikojulikana kwa hofu, lakini kadri siku zilivyozidi na matukio ya utekaji na mauaji ya albino kuzidi kuongezeka, hilo liliwatia hofu.

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka minne imepita :Hatujui walipo Lemy na Zacharia

Ni msiba usiofutika. Pengine ndiyo maneno yanayofaa kuelezea tukio la familia ya watoto wenye ulemavu wa ngozi, Lemy Juma (12) na Zacharia Juma (6) waliotekwa na watu wasiojulikana miaka minane iliyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya miaka 30, ukimwi bado tishio

Zaidi ya miaka 30 tangu mgonjwa wa kwanza wa ukimwi kugunduliwa Tanzania, lakini madhara yake bado yanaonekana: kiuchumi na jamii.

 

10 years ago

Vijimambo

Miaka 19 ya ajali Mv. Bukoba: Usafiri bado wa kubahatisha, Ahadi ya Rais kikwete haijatekelezwa.

Sehemu ya chini ya meli ya MV Bukoba iliyozama katika Ziwa Victoria na kuua mamia ya watu.
Ni kawaida kwa nchi yeyote kama ilivyo kwa watu binafsi, kuwa na utaratibu wa kuadhimisha matukio yaliyo muhimu katika historia ama maisha ya nchi zao, watu binafsi, jumuiya au taasisi.

Kwa ujumla, sherehe ama maadhimisho ya matukio ya aina hiyo muhimu, huweza kufanyika kwa namna mbili.
Kufanya kumbukumbu ya tukio au matukio ya furaha kwa upande mmoja, ama kumbukumbu ya tukio au matukio ya huzuni kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWZ RASIMU YA KATIBA MPYA IMEPITA DODOMA,THERUTHI 2/3 YAPATIKANA PANDE ZOTE ZA MUUNGANO

#‎HABARI‬ Rasimu ya tatu ya Bunge maalum la katiba nchini Tanzania imepita kwa theluthi mbili za wajumbe kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. 1. ZANZIBAR. * Sura ya Kwanza Ibara ya 1 hadi 11 imepata theluthi Mbili
* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi 26 imepata theluthi mbili
* Sura ya Nne Ibara ya 27 hadi 30 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tano Ibara ya 31 hadi 64 imepata theluthi mbil
*Sura ya Sita Ibara ya 65 hadi 69...

 

10 years ago

BBC

Lucky no-one died - Ghana FA

The Ghana FA says fans could have died as crowd trouble marred the Africa Cup of Nations semi with Equatorial Guinea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani