maximo bado anakumbukwa

Dakta Victor Stanculescu wa Romania, Tambwe Leya wa DRC Marcio Maximo wa Brazil ni majina ya makocha ambayo hayatasahaulika nchini Tanzania. Victor alipata umaarufu kwa falsafa yake ya kukuza vipaji kwa vijana na akafanikiwa sana pale alipotengeneza nyota wengi kwa timu hiyo na Taifa Stars, Tambwe Leya anakumbukwa kwa falsafa yake ya nidhamu na bidii mazoezini. Maximo hatosahaulika kwa kuamsha ari ya soka na kuifanya Taifa Stars ipendwe na wananchi kama kwamba ni klabu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
LUCKY DUBE; MIAKA 8 IMEPITA, BADO ANAKUMBUKWA
11 years ago
Mwananchi17 Sep
Maximo kamili, Phiri bado bado
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.
Kwa taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...
10 years ago
Michuzi