Hapa Kazi Tu yasubiriwa U/Taifa
Huku kukiwa na taarifa kuwa Rais wa awamu ya tano, Dk John Magufuli na mtangulizi wake, Jakaya Kikwete watakuwa miongoni mwa mashabiki watakaohudhuria mchezo wa leo baina ya Taifa Stars na Algeria, nyota wa Stars wamezungumzia ujio huo kuwa utawaongezea hamasa na kuahidi kutowaangusha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Hapa kazi tu na utendaji kazi wa staili ya jeshi la mtu mmoja
RAIS wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli ameanza kazi kwa staili ambayo si mpya hapa nchini.
Yahya Msangi
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
HAPA KAZI TU: Majaliwa aibukia Bandari na kuwatia mbaroni maafisa kadhaa huku Rais akimsimamisha kazi Kamishna TRA!
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya ghafla bandarini akisalimiana na uongozi wa TRA na TPA.
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 80/-.
Akizungumza na viongozi wa Mamlaka ya Bandari pamoja na viongozi wa TRA katika ziara ya kushtukiza leo mchana (Ijumaa, Novemba 27, 2015), Waziri Mkuu amewataka Kamishna...
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya “Hapa Kazi Tu”
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi mara baada ya kuanza kazi rasmi katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE, Obedi Mbaga.
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AANZA KAZI RASMI NA KUWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU”
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano kati...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-STTfIhA_ac4/Vh-3_cxLHYI/AAAAAAABnDk/MFF6QCwsCZs/s72-c/20151015072138.jpg)
9 years ago
Mwananchi29 Dec
HAPA KAZI
9 years ago
Habarileo27 Sep
Yanga hapa kazi tu
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga jana waliondoa unyonge wa kufungwa na Simba baada ya kuibuka kidedea kwa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo24 Nov
Uhuru hapa ni kazi tu
RAIS John Magufuli amewataka Watanzania popote walipo kusherehekea siku ya Uhuru, Desemba 9, 2015, kwa kufanya kazi. Taarifa iliyotolewa na Ikulu Dar es Salaam jana, ilisema kwamba maadhimisho ya Uhuru ya mwaka huu (2015) yatatumika kama kichocheo cha kujenga tabia ya kufanya kazi (Uhuru na Kazi) nchini.
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Uchaguzi wa Hispania,matokeo yasubiriwa