Hapatoshi APR, Rayon Sports, Rwanda kusimama dakika 90
Leo patakuwa hapatoshi mjini hapa wakati miamba miwili ya Kigali, Rayon Sport na APR zitakapovaana katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Kagame kwenye Uwanja wa Nyamirambo saa 11:00 jioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74462000/jpg/_74462555_coach33.jpg)
Rwanda FA bans Rayon Sports coach Eymael
11 years ago
Daily News01 Feb
Sports ministry calls for corporate to invest in sports,culture
Daily News
Daily News
MINISTER for Information, Youth, Culture and Sports, Fenella Mukangara has expressed the government's commitment to promote sports but urged other stakeholders to give more support. She made the call in Dar es Salaam on Friday during an occasion to ...
11 years ago
TheCitizen23 Jul
Yanga, Rayon in Cecafa opener
11 years ago
TheCitizen08 Aug
Azam FC target Rayon SC scalp
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Yanga kuanza na Rayon Kagame
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), jana lilitoa ratiba ya Kombe la Klabu Bingwa maarufu kama Kagame Cup, huku Yanga ikipangwa kufungua dimba na Rayon Sports...
9 years ago
Habarileo22 Dec
Yanga kumlea kiungo wa Rayon
- JONES Na Grace Mkojera KLABU ya Yanga imesema kiungo wa Rayon Sports Jerome Sina ataendelea kuwepo kwenye kikosi cha timu hiyo kujinoa kwa mazoezi wakiendelea kutazama kiwango chake.
9 years ago
Habarileo04 Nov
Pluijm hofu kusimama ligi
KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema wamewapa wachezaji wake mapumziko ya wiki mbili kabla ya kuanza maandalizi ya mechi za Ligi Kuu inayotarajia kuendelea tena Desemba 12 mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi23 May
Walipinga Bunge la Katiba kusimama
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_RJ0uWxHV6s/XuC9GztmGmI/AAAAAAALtVM/YQIlUtXEPv464sW1ECOH5taZSIHqjOCeQCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
DIWANI AAPA KUSIMAMA NA MAGUFULI.
NA DENIS MLOWE, IRINGA
DIWANI wa Kata ya Mwangata iliyoko Manispaa ya Iringa,Nguvu Chengula ameapa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Rais John Pombe Magufuri anashinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa 2020 unaotarajiwa kufanyika Oktoba.
Akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi wa Boma, Chengula alisema kuwa atatumia jitihada zote pamoja na Mali anazomiliki kuhakikisha CCM inashinda chini ya Rais Magufuli kwa kutoa magari ya kampeni na vipaza sauti...