Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPPY BESDEI MDAU FATHER KIDEVU!!

LEO ni siku ya kuzaliwa ya mpiganaji Mroki Mroki 'Father Kidevu' ambapo leo anaadhimisha miaka kadhaa hapa duniani. Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndie ajauae sababu ya kumuacha hadi hii leo na hakuna alicho mpa. Pia anashukuru wazazi hasa mama yake, familia yake ikiongozwa na mkewe pamoja na watoto wao. 
"Ndugu zangu mbali na hao niliowataja hapo juu, lakini ninyi marafiki zangu, Wadau wangu, ndugu na jamaa wote popote pale mlipo hapa duniani ni watu muhimu sana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA MIAKA 8 YA BABA MZAZI WA BLOGGER FATHER KIDEVU NA BIRTHDAY YA FATHER KIDEVU

Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925 – 18/09/2007) Mroki Mroki-Father KidevuSekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika nane sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925 – 18/09/2007) ututangulie Mbele za haki kama ulivyotutangulia kuja duniani.
Nimajonzi sana kwetu hasa ukizingatia kuwa uliondoka katika tarehe ambayo kitinda mimba wako Mroki Mroki 'Father Kidevu' alizaliwa na ni siku kumi tu baada ya kufunga ndoa Mroki.
Unakumbukwa na wengi sana maana...

 

10 years ago

GPL

HAPPY BIRTHDAY FATHER KIDEVU

LEO ni siku ya kuzaliwa ya mpiganaji Mroki Mroki 'Father Kidevu' ambapo leo anaadhimisha miaka kadhaa hapa duniani. Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndie ajauae sababu ya kumuacha hadi hii leo na hakuna alicho mpa. Pia anashukuru wazazi hasa mama yake, familia yake ikiongozwa na mkewe pamoja na watoto wao.   

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY MAMA MZAZI WA BLOGGER FATHER KIDEVU

TAREHE ya leo ni ndio aliyo zaliwa Mama mzazi wa Blogger na Mpigapicha nguli Tanzania, Mroki Mroki, Bi. Mary O.Nathan  (pichani) wa Kinyenze, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ambaye leo anatimiza miaka 63 tangu kuzaliwa kwake tarehe kama ya leo. 

Kipekee anamshukuru Mungu kwa kumjalia umri huo alionao hivi sasa. Anawashukuru wote ambao wamechangia yeye kuishi vyema. Anaishukuru sana Familia yake yote kwa umoja na upendo walio nao jambo mabalo anasema linamfanya aishi kwa furaha na amani. 
...

 

10 years ago

Vijimambo

KIIZA AIBEBA YANGA KWA GOLI LA 'FAIRPLAY' DHIDI YA EXPRESS YA UGANDA-Father Kidevu

Mabingwa mara 24 wa soka la Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam imewazamisha Express ya Uganda kwa goli 1-0 lilifungwa katika dakika ya 90 kufuatia mpira wa kurushwa uliotolewa nje baada ya mchezaji wa Xpress ya Uganda kuumia.
Mchezaji wa kulipwa wa Uganda, Hamisi Kiiza anaekipia na Yanga ndiye aliyepachika goli hilo ambalo hata hivyo lilionesha kulalamikiwa na benchi la ufundi la Express ambao walikuwa wakihoji tunawafundisha nini wachezaji juu ya Fair Play?Wachezaji wakiwania mpira wakati wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HEPPY BESDEI MDAU DANIEL CHONGOLO

 Mdau wa Globu ya jamii,Daniel Chongolo leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae sababu ya kumuacha hadi hii leo na hakuna alicho mpa. Pia anashukuru Wazazi hasa mama yake, familia yake ikiongozwa na mkewe pamoja na watoto wao. 

Globu ya jamii inamtakia afya njema na kila lakheri katika siku yake hii muhimu ya kuzaliwa kwake.

 

10 years ago

Michuzi

HEPPY BESDEI MDAU DANIEL CHONGOLO

 Mdau wa Globu ya jamii,Daniel Chongolo leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae sababu ya kumuacha hadi hii leo na hakuna alicho mpa. Pia anashukuru Wazazi hasa mama yake, familia yake ikiongozwa na mkewe pamoja na watoto wao. 

Globu ya jamii inamtakia afya njema na kila lakheri katika siku yake hii muhimu ya kuzaliwa kwake.

 

11 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mdau Krantz Mwantepele

 Leo tarehe 19 mwezi wa saba ni siku ya kuzaliwa mdau Krantz Mwantepele mwanzilishi na  mkurungezi wa  ufundi  mwanaharakati mzalendo media ambao ni wamiliki wa blog tatu mwanaharakati mzalendo blog, harakati180 na 255 trending news   pia ni Mkurungezi wa masoko wa KAJO ITECH  kampuni ya kizalendo inayohusika na it ,printing na event managementNapenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana nao kila siku katika  ujenzi wa ktaifa katika kuhabarishana na pia kutoa elimu kupitia...

 

11 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mdau Ronnie Mtawali

Leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa  mdau Ronnie  Mtawali. 
Globu ya Jamii inamtakia afya nyema na maisha ya furaha kwa siku hii. Ankal ana furaha na fahari kubwa kuwa mmoja wa marafiki wa karibu wa Ronnie ambaye miaka takriban 20 iliyopita alimpigia picha zake za harusi. Na kama zawadi anamwambia Ronnie kwamba ile shilingi Elfu kumi na mbili (12,000/- Tshs) anayomdai ya album hadi leo anamsamehe. Msamaha huo unakuja kwa kuona Ronnie amedumisha ndoa yake hadi leo bila kutetereka...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU ANDREW CHALE


 Usiku wa Oktoba 21 ni siku yangu muhimu sana kwani, ndiyo niliyozaliwa. Hii ilikuwa ni majira ya saa 3 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ni mwaka 1985.Leo nina furaha isiyo kifani kwa kuweza kusherehekea  siku yangu hii ya kuzaliwa… hakika Mungu ni mkuu nawashukuru nyote kwa kushirikiana nami bega kwa bega katika kipindi chote cha maisha yangu nawatakia kila lakheri pia.Najivunia kua mtanzania ila ndani  ya miaka hii yote  nakumbuka mengi na nimepitia mengi ikiwemo milima na mabonde...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani