Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HARUSI YA MIKE LOHELO NA TAYANA DAR -ES -SALAAMA

Mike na mke wake siku ya ndoa yao hapa wakiangaliana usoni kabla ya kukaa kwenye viti.Tayana akipokea busu la huba kwenye shavu kutoka kwa mume wake Mike.Mike na mke wake wakipata ukodak sehemu iliyoandikwa majina yao kabla kuingia kwenye ukumbi wa harusi yao.Okodak wa pamoja na wapambe wao.Ny Ebra ni rafiki wa bwana harusi hapa wakipata ukodak.Ukodak kama kawaida bwana harusi na rafiki yake Robert Mongi na mke wake mama kijacho.Bwana harusi akifurahia jambo baada ya kutaniwa na  rafiki...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOA WA DAR ES SALAAM‏

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo akikimbiza Mwenge wa Uhuru kwa ajili ya kuukabidhi tayari kuanza ziara yake Mkoani Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo (mwenye T-shirt nyeupe) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza leo jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza akikimbiza mwenge wa Uhuru Tayari kwa kuukabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadiki.

(Picha na Hassan Silayo na Benjamin Sawe)

 

5 years ago

Michuzi

Dar es Salaam’s British Legion Tanganyika Club yapiga jeki kiwanda Muhimbili

Wanachama na marafiki wa Dar es Salaam’s British Legion Tanganyika Club wametoa msaada wa TZS. 5,425,000 Mil. kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili ili kuongeza nguvu kwenye kiwanda cha kuzalisha mavazi ya kujikinga na maambukizi ya Covid-19.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huyo Mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Godfrey Mramba amesema kuwa wameguswa jinsi ambavyo Hospitali ya Taifa Muhimbili iliweza kukabiliana na changamoto kubwa ya upungufu wa mavazi kinga ambayo yalikua hayapatikani kwa...

 

9 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.

Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi

Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza

 

9 years ago

Mtanzania

Bibi harusi amkimbia bwana harusi

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

 

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.

 Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...

 

10 years ago

Michuzi

SALAAMA ZA RAMBIRAMBI TOKA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALI KUFUATIA AJALI YA MUSOMA

TUNAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA MKUBWA WA TAIFA
"Jana September 5 2014 kwenye eneo la Sabasaba Mjini Musoma ilitokea ajali mbaya sana ya mabasi mawili yakiwa na abiria na kulihusisha gari jingine dogo ambapo majeruhi ni zaidi ya 70 na waliofariki ni 39 Wanawake kwa Wanaume kwa mujibu wa taarifa mpya za vifo zilizotoka."
JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA IMEPOKEA TAARIFA ZA AJALI KWA MASIKITIKO  NA MSHITUKO MKUBWA SANA.
TUNAWAPA POLE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE WALIOPOTEZA...

 

10 years ago

Vijimambo

BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO

Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla.Mwanamke huyo ajulikanaye kama Indra anayetokea Rampur jimbo la Uttar Pradesh, inaelezwa kuwa sekunde chache kabla ya ndoa ya wawili hao mume akaanguka kifafa, na hivyo kumlazimu kuondoka harusini na kwenda kumwona daktari.Bi harusi Indra, alishikwa na hasira ya hali ya juu, kwakuwa mume alimficha juu ya hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani