Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hasara za kutotunza kumbukumbu za biashara kwa wajasiriamali

Utunzaji wa kumbukumbu ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Kumbukumbu husaidia kuonyesha dira au mwelekeo wa jambo lililofanyika au linalofanyika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UN YAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA WAATHIRIKA WA BIASHARA YA UTUMWA

Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki. Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania, Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake. Ofisa...

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa kutunza kumbukumbu katika biashara yako

kichwa cha binadamu kina mambo mengi ya kuingia na kutoka kulingana na hali halisi ya maisha ya kila siku. Kwa kuzingatia hali hii, ndiyo maana kuna umuhimu wa kutunza kumbukumbu za biashara ili kuifanya iendeshwe kitaalamu

 

10 years ago

StarTV

Wajasiriamali waaswa kuendesha biashara zao kitaalamu.

Na Amina Saidi, Mbeya.

Wajasiriamali nchini wametakiwa kujifunza mbinu za kuendesha biashara zao kitaalamu ili kukuza mitaji.

Hatua hiyo itazijafanya biashara hizo kuwa endelevu na zenye tija.

Ni katika uzinduzi wa kitabu cha Mjasiriamali kinacholenga kutoa elimu itakayowasaidia wajasiriamali wadogo na wa kati kukuza mitaji ya biashara zao kitaalamu badala ya kuendesha biashara za kuiga ama kufuata mkumbo ambazo mara nyingi si endelevu.

Mtunzi wa kitabu hicho mjasiriamali mdogo...

 

11 years ago

Michuzi

FAIDIKA yawezesha wajasiriamali baada ya mafunzo ya biashara

 Mkurugenzi wa viwanda vidogo na biashara ndogo ndogo na za kati kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Consolata Ishebabi akizungumuza na wajasiriamali kutoka mikoa ya Mbeya, Arusha na Dar es Salaam waliopata mafunzo juu ya uendeshaji biashara, kabla ya kupata fedha kwa ajili ya mitaji kutoka taasisi ya kifedha ya FAIDIKA. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa FAIDIKA Marion Moore na kulia ni Mwalimu wa wajasiriamali Bi. Mariam Tambwe. Mkurugenzi wa viwanda vidogo na biashara ndogo ndogo na za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wajasiriamali wahimizwa kutumia Internet kutangaza biashara zao!

DSC_0336Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Zanzibar, Bw. Salim Maulidi Salim akimkabidhi picha ya mlango wa asili ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi jijini Birmingham, Bw. Prince Kateka II ikiwa ni ishara ya kukaribishwa Zanzibar.

Wafanyabiashara wamehimizwa kutumia mtandao wa internet kutangaza bidhaa na huduma wanazotoa kwa kuwa njia hiyo ni nafuu na inawafikiwa watu wengi kwa haraka. Hayo yalibainishwa na Bw. Dickson Inachee, Raia wa Uganda alipokuwa anatoa mada katika kongamano la siku...

 

10 years ago

Michuzi

KINAMAMA WAJASIRIAMALI WATIA FORA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA NDOLA, ZAMBIA

Tarehe 1 hadi 7 Julai 2015 kulikuwako maonyesho ya kibiashara yaliyofanyika mji wa Ndola. Kama ilivyo ada kwa Watanzania, walishiriki maonesho hayo na kutia fora kwa bidhaa zao mbalimbali. Kikundi cha Wajasiriamali kinachojulikana HOT kutoka Dar es Salaam kilishiriki kama kinvyoonekana kwenye picha mbali mbali wakiwa wamepiga picha na Balozi wetu wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma. Balozi alikwenda Ndola kuwaunga mkono. Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kissui afungua kongamano la ulingo wa maendeleo ya biashara na uchumi Karakana ya wajasiriamali-Wazo Hill Tegeta leo

IMG_0107

Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Utamaduni, Michezo, Habari na Vijana Dkt. Kissui S. Kissui akifungua rasmi kongamano la ulingo wa maendeleo ya biashara na uchumi Karakana ya wajasiliamali uliofanyika Wazo Hill Tegeta, Katika Hotuba yake aliwapongeza PSPF kwa kujitoa kuwasaidia wajasiliamali kuwekeza kupitia Fao lao la Ujasiliamali na Kujiunga katika mfuko wa uchangiaji wa Hiari wa PSS, Pia aliwapongeza Haiba Foundation kwa kuwasaidia wajasiriamali wadogo wadogo na mwisho alitoa somo maalum...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri mkuu Pinda ahudhuria mkutano wa benki ya dunia,awataka wajasiriamali walioko katika sekta isiyo rasmi kurasimisha biashara zao.

 Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari  nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza...

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti: Bidhaa feki faida kwa Serikali hasara kwa wananchi

Tangu kuanzishwa kwa soko huria nchini, nchi nyingi duniani zimejikuta zikigeuzwa kuwa ;dampo’ la kutupa kila aina ya bidhaa hafifu kutoka katika nchi za Asia, Ulaya na Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani