FAIDIKA yawezesha wajasiriamali baada ya mafunzo ya biashara
![](http://4.bp.blogspot.com/--VppNBuGuO0/U8d__WG1lpI/AAAAAAACloA/tr0VSWFbaj8/s72-c/Faidika+1.jpg)
Mkurugenzi wa viwanda vidogo na biashara ndogo ndogo na za kati kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Consolata Ishebabi akizungumuza na wajasiriamali kutoka mikoa ya Mbeya, Arusha na Dar es Salaam waliopata mafunzo juu ya uendeshaji biashara, kabla ya kupata fedha kwa ajili ya mitaji kutoka taasisi ya kifedha ya FAIDIKA. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa FAIDIKA Marion Moore na kulia ni Mwalimu wa wajasiriamali Bi. Mariam Tambwe.
Mkurugenzi wa viwanda vidogo na biashara ndogo ndogo na za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LZfMsRt8tpleAJWueOKfL1zDcy7Xl0JUIleWui3thOX*P3mXdmzLG1halzQ99PDa*SkfHdLTju3skZY7eaZskgb8HWUO4qn0/AFISAMASOKOAIRTELMOROAMINATAKEITAAIRTELFURSAPIXNO001.jpg?width=650)
FURSA YAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI MKOANI MOROGORO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6hhZBgxm7kA/UyaGMLT2BXI/AAAAAAACco8/8Kf8ct1WDsY/s72-c/Faidika+1.jpg)
FAIDIKA: Kuchukua mikopo ya biashara bila elimu ya ujasiriamali ni hatari
![](http://1.bp.blogspot.com/-6hhZBgxm7kA/UyaGMLT2BXI/AAAAAAACco8/8Kf8ct1WDsY/s1600/Faidika+1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZZ-2lOYlm7A/UyaGMerdQnI/AAAAAAACcpA/ION8tpO2Doc/s1600/Faidika+3.jpg)
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Taasisi ya fedha ya FAIDIKA wazindua huduma mpya ya ‘Faidika na Samsung Tabs’ kwa wateja wa Dar
Ofisa Mtendaji mpya wa Faidika, Bw. Mbuso Dlamini wa pilikutoka kushoto akiwa sambamba na Meneja matekeleo wa taasisi hiyo, Haruna Feruzi wakiwa wameshika moja ya Samsung galaxy tab ambazo watakuwa wanakopesha wateja wao kuanzia sasa. Wanaofuatia ni Meneja wa kitengo cha Mauzo SME, kutoka kampuni ya AIRTEL, Bw. Killian Nango akishikilia bidhaa hizo pamoja na Meneja wa Samsung, Bw. Payton Kwembe. Wakionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam. (Picha...
9 years ago
MichuziBenki ya NBC yawezesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana
11 years ago
MichuziAirtel yawezesha mafunzo kwa wafanyakazi wa Afya kijiji cha Mbola Tabora
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhzhyFhG-oDmpUFxTcZsJdUQbit2QU2l7qd2FHogmftZzox6vf9ZsOUq-80ZxV9WGpVsqKPzO-PhWJcyAcTC5Bq0l/1.jpg?width=650)
AIRTEL FURSA YAWEZESHA VIJANA ZAIDI YA 200 ARUSHA MBINU ZA KUENDESHA BIASHARA ZAO
11 years ago
GPLAIRTEL YAWEZESHA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA AFYA KIJIJI CHA MBOLA TABORA
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Umuhimu wa mafunzo kwa wajasiriamali
11 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO ZANZIBAR AFUNGA MAFUNZO YA SIKU TATU JUU YA VIKWAZO VYA BIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU