Hassan Mfaume aula shindano la “Tutoke na Serengeti” kutalii kwenye mbuga za wanyama
Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, lijulikanalo kama “MTOKO WA MBUGANI” Bw. Hassan Mfaume, akisaini mkataba wake na kampuni ya bia ya Serengeti.Katikati ni meneja wa bia chapa ya Serengeti Bw.Rugambo Rodney na kushoto ni Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya kampuni hiyo-Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam, Malalia Mmassy akisaini mkataba wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM22 Oct
MENEJA WA T.I ALIVYOTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA YA SERENGETI
Meneja wa mwanamuziki wa nchini Marekani T.I,Jason Geter akiwa na waziri wa Maliasiri na Utalii,Lazaro Nyarandu na Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga walivyotembelea mbuga za wanyama za Serengeti hivi karibu baada ya kumalizika tamasha la Fiesta.
10 years ago
Dewji Blog28 Dec
Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti akifurahia wikiendi mbugani
Mshindi wa kwanza wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Hassan Mfaume akiwa na rafiki yake kipenzi, Mohamedi Ally walipowasili katika hifadhi ya taifa ya Serengeti tayari kufurahia wikiendi yao kwa kutalii sehemu mbalimbali za hifadhi hiyo maarufu duniani. Safari hii inagharamiwa na Kampuni ya bia ya Serengeti.
Bw. Hassan na rafiki yake wakiwa ndani ya gari baada ya kuanza safari yao ya utalii ndani ya mbuga mashuhuri ya Serengeti mkoani Mara.
Hassan na rafiki yake wakipozi kwa ajili...
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
Mkazi wa Korogwe, Tanga aibuka mshindi wa mtoko wa Mbugani kwenye fainali ya kampeni “Tutoke na Serengeti”
Meneja chapa wa bia ya Serengeti Premium, Bw.Rugambo Rodney (wa pili kulia), akionyesha namba ya simu ya mshindi wa mwisho wa shindano la Tutoke na Serengeti, ambapo Bw. Robert Gabriel mkazi wa Korogwe, Tanga aliibuka mshindi.Msimamizi toka PWC, Golder Kamuzora na (wa pili kulia), Afisa mwandamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha,Bw. Jehud Ngolo (wa kwanza kushoto) Afisa Mauzo toka SBL, Anitha Moshi, (wa kwanza kulia). Droo hiyo iliyofanyika katika baa ya Hongera jijini Dar es salaam.
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Serengeti yatoa zawadi ya Limo Bajaj kwa mshindi wa kwanza wa promosheni ya “Tutoke na Serengeti”
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea na waandishi wa habari hawapo Pichani, wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Tutoke na Serengeti, ambapo Bi.Rukia Athuman Almas toka Kihonda-Morogoro ameibuka mshindi wa kwanza na kujinyakulia Limo Bajaji mpya yenye thamani ya tsh milioni tisa, kushoto ni mkaguzi toka bodi ya Michezo ya bahati nasibu.
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea kwa njia ya simu ya mkononi na Rukia Athuman Almas ambaye ni mshindi...
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
Mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa Mbugani” wa kampeni ya Tutoke na Serengeti akila bata ndani ya hifadhi ya Serengeti
Mshindi wa mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale (Kulia) akiwa na kaka yake Bw.Joshua Robert Moriale (Kushoto) walipowasili mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha tayari kwa kuanza safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti kwa...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
B-Pesa, Serengeti wazindua ‘Tutoke na Serengeti’
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti kwa kushirikiana na Kampuni ya Teknolojia ya B-Pesa, wamezindua promosheni ijulikanayo kama ‘tutoke na Serengeti’ ambapo wateja watashinda zawadi kadha wa kadha ikiwemo kutembelea mbuga...
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Mbuga ya wanyama Kenya yawekwa mtandaoni
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Mkazi wa Mwanza ashinda bajaji ya sita ya promosheni ya “Tutoke na Serengeti”
Meneja wa Bia chapa Serengeti Primium Lager, Rugambo Rodney, (kushoto) akiongea kwa njia ya simu na mshindi wa sita wa Limo Bajaji, Ramadhani Abubakar, katika shindano la Tutoke na Serengeti lililofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni msimamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha, Baraka Majid.
Bajaji ya sita ya kampeni ya Tutoke na Serengeti, safari hii itaelekea mkoani Mwanza baada ya bwana. Ramadhan Abubakar kutangazwa kuwa mshindi wa Limo Bajaj,...
11 years ago
GPLNATIONAL GEOGRAPHIC WASHINGTON, DC YAFAGILIA MBUGA ZA WANYAMA ZA TANZANIA