Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MENEJA WA T.I ALIVYOTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA YA SERENGETI

Meneja wa mwanamuziki wa nchini Marekani T.I,Jason Geter akiwa na waziri wa Maliasiri na Utalii,Lazaro Nyarandu na Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga walivyotembelea mbuga za wanyama za Serengeti hivi karibu baada ya kumalizika tamasha la Fiesta.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Hassan Mfaume aula shindano la “Tutoke na Serengeti” kutalii kwenye mbuga za wanyama

1

Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, lijulikanalo kama “MTOKO WA MBUGANI” Bw. Hassan Mfaume, akisaini mkataba wake na kampuni ya bia ya Serengeti.Katikati  ni meneja wa bia chapa ya Serengeti Bw.Rugambo Rodney na kushoto ni Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy wakati wa mkutano na waandishi wa habari  uliofanyika makao makuu ya kampuni hiyo-Chang’ombe jijini Dar es Salaam.

2

Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam, Malalia Mmassy akisaini mkataba wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbuga ya wanyama Kenya yawekwa mtandaoni

Mbuga ya Samburu imekuwa ya kwanza Afrika kuwekwa kwenye Google Street View, huduma itakayowezesha watu kuitalii mtandaoni.

 

11 years ago

GPL

NATIONAL GEOGRAPHIC WASHINGTON, DC YAFAGILIA MBUGA ZA WANYAMA ZA TANZANIA

National Geographic ya Washington, DC siku ya Jumatano, Dec 11, 2913 walionyesha vivutio mbalimbali vilivyopo kwenye mbuga zetu za wanyama kwa wahudhuriaji ambao wengi wao walikua Wamarekani pia ulialikwa Ubalozi wa Tanzania akiwemo Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba.…

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA WA ALIETEMBELEA TANZANIA NA KUFANYA SAFARI NDANI YA MBUGA ZA WANYAMA


Hapa akiongea juu kupitia camera ya Dr Temba, Tanzania na vifutio vyake jitiririshe na endelea kujivunia Utanzania wako kiroho safi

 

10 years ago

Vijimambo

MZUNGU ALIETEMBELEA TANZANIA NA KUFANYA SAFARI NDANI YA MBUGA ZA WANYAMA ALONGA


Hapa akiongea  kupitia camera ya Dr Temba, juu ya kilicho mvutia nchini Tanzania kwenye hiyo safari yake ya kutembelea mbuga za wanya. Jitiririshe na endelea kujivunia Utanzania wako kiroho safi. Kwa picha zaidi nenda hapa...http://tembaphoto.com/

 

10 years ago

Michuzi

Mafunzo kwa vitendo wa askari wa wanyamapori katika mbuga ya serengeti

Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Wanyamapori cha Mweka  wakiwa katikati ya mbuga ya Serengeti mkoani Mara katika mafunzo  ya vitendo bila wasiwasi japokuwa nyuma yao kuna  kundi la nyati.

 

5 years ago

Michuzi

WAWILI MBARONI KWA KUJARIBU KUINGIA MBUGA ZA WANYAMA KWA UJANGILI HUKU WENGINE WAKIMBILIA NCHI JIRANI YA KENYA Inbox x


Bunduki ya kivita aina ya AK47 ambayo imekamatwa wilayani Ngorongoro na Jeshi la polisi wakishirikiana pamoja na kikosi cha ujangili kanda ya Ziwa huko Oloshoo Kata ya Enguserosambu picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Sehemu ya risasi zilizokutwa kwenye magazine ya bunduki hiyo baada ya msako mkali wilayani Ngorongoro

Askari wa kikosi kazi cha Jeshi la Polisi akijaribu Silaha hiyo mbele ya waandishi wa habari kabla kamanda wa Jeshi hilo hajaongea nao leo jijini hapa

Kamanda Shana akiwa na...

 

10 years ago

GPL

MENEJA WA T.I ATINGA LEADERS KUSHUHUDIA MAANDALIZI YA SHOO YA SERENGETI FIESTA 2014

Meneja wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuingia jijini Dar es Salaam, kesho kwaajiri ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Jonson Geter wa kwanza kutoka kushoto akiwa ndani ya Viwanja vya Leaders  tayari kwa kushuhudia maandalizi ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kesho kutwa katika viwanja hivyo,katika ni mmoja wa jamaa zake aliyoambatana nao kutoka marekani na kulia ni Mtangazaji wa Clouds TV...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOTEMBELEA SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC

Kumbe hata wazungu wanamjua Diamond Platnumz ndani ya Safari Restaurant.
Diamond akiteta jambo na Msaidizi wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani ndani ya Mgahawa wa Safari.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani