NATIONAL GEOGRAPHIC WASHINGTON, DC YAFAGILIA MBUGA ZA WANYAMA ZA TANZANIA
National Geographic ya Washington, DC siku ya Jumatano, Dec 11, 2913 walionyesha vivutio mbalimbali vilivyopo kwenye mbuga zetu za wanyama kwa wahudhuriaji ambao wengi wao walikua Wamarekani pia ulialikwa Ubalozi wa Tanzania akiwemo Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Jan
MAMA WA ALIETEMBELEA TANZANIA NA KUFANYA SAFARI NDANI YA MBUGA ZA WANYAMA
Hapa akiongea juu kupitia camera ya Dr Temba, Tanzania na vifutio vyake jitiririshe na endelea kujivunia Utanzania wako kiroho safi
10 years ago
Vijimambo08 Jan
MZUNGU ALIETEMBELEA TANZANIA NA KUFANYA SAFARI NDANI YA MBUGA ZA WANYAMA ALONGA
Hapa akiongea kupitia camera ya Dr Temba, juu ya kilicho mvutia nchini Tanzania kwenye hiyo safari yake ya kutembelea mbuga za wanya. Jitiririshe na endelea kujivunia Utanzania wako kiroho safi. Kwa picha zaidi nenda hapa...http://tembaphoto.com/
10 years ago
National Geographic28 Apr
The National Geographic Society
National Geographic
National Geographic
Debate moderator John Sibi-Okumu (middle) gestures in the debate session between Paula Kahumbu and Charles Onyango Obbo. Photo by Emmanuel Muasya/WildlifeDirect. By Paula Kahumbu. In Kenya, when you hear that “Things are Elephant,” it means ...
Tanzania Unveils New Elephant OrphanageEcorazzi
Illegal Ivory Traders Now Explore New Export RoutesAllAfrica.com
all 3
10 years ago
CloudsFM22 Oct
MENEJA WA T.I ALIVYOTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA YA SERENGETI
Meneja wa mwanamuziki wa nchini Marekani T.I,Jason Geter akiwa na waziri wa Maliasiri na Utalii,Lazaro Nyarandu na Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga walivyotembelea mbuga za wanyama za Serengeti hivi karibu baada ya kumalizika tamasha la Fiesta.
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Mbuga ya wanyama Kenya yawekwa mtandaoni
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-AtlABp4njU4/U57gSlYbctI/AAAAAAACuv8/Jv3A-drvIH8/s72-c/NG_Buffett_Award_0612_712.jpg)
Professor Benezeth Mutayoba apata tuzo ya 2014 National Geographic Buffett for leadership in conservation
![](http://1.bp.blogspot.com/-AtlABp4njU4/U57gSlYbctI/AAAAAAACuv8/Jv3A-drvIH8/s1600/NG_Buffett_Award_0612_712.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-NhnCZzUWRTY/U57gSWE75qI/AAAAAAACuv4/BuSCYrkgQug/s1600/NG_Buffett_Award_0612_1073.jpg)
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
National Geographic Society Names Winners of Terra Watt Prize Competition for Innovative Energy Solutions
India-based Mera Gao Micro Grid Power (MGP) and Tanzania-based EGG-energy (EGG) are the winners of National Geographic’s first Terra Watt Prize, a competition aimed at developing innovative solutions that address on energy poverty. National Geographic launched the Terra Watt Prize to support entrepreneurs and investors in the quest to bring basic access to electricity to people worldwide. MGP and EGG will each receive grants of $125,000 to implement their proposed projects to provide...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fRfJlnZ3IqA/U0jB_EwuWkI/AAAAAAAFaDs/6ETZ5ykVtbk/s72-c/TANGAZO+-+Muungano+Day+Celebration+-+FOR+blogs_0001.jpg)
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Hassan Mfaume aula shindano la “Tutoke na Serengeti” kutalii kwenye mbuga za wanyama
Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, lijulikanalo kama “MTOKO WA MBUGANI” Bw. Hassan Mfaume, akisaini mkataba wake na kampuni ya bia ya Serengeti.Katikati ni meneja wa bia chapa ya Serengeti Bw.Rugambo Rodney na kushoto ni Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya kampuni hiyo-Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam, Malalia Mmassy akisaini mkataba wa...