Hatimaye KenyaAirways yasitisha safari
Kenya Airways imesitisha safari za ndege kuelekea mataifa matatu yaliyoathirika pakubwa na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Ebola: Ndege ya Arik yasitisha safari
Shirika la ndege la ARIK Air limesitisha safari za ndegekuingia Liberia na Sierra Leone kufuatia kuenea kwa ugonjwa wa Ebola.
9 years ago
BBCSwahili07 Nov
Urusi yasitisha safari za ndege kuelekea Misri
Urusi imesitisha safari zake zote za ndege kuelekea Misri - huku Marekani ikiimarisha usalama wake katika ndege zote zinazoelekea Misri.
11 years ago
Mwananchi13 Jun
TRL yasitisha safari za treni kwa siku saba
Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha safari za treni ya Reli ya kati kwa siku saba kutokana na kubainika hitilafu katika Daraja la Ruvu.
10 years ago
Michuzi
TRL YASITISHA SAFARI ZA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA KUANZIA LEO

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Wahandisi na Mafundi wa TRL wako katika eneo la tukio wakifanya tathmini ya jinsi zoezi la ukarabati utakavyofanyika na kwa muda gani.
Ikifafanua zaidi taarifa imeeleza kuwa tathmini ya mafundi hao...
9 years ago
Michuzi
TRL YASITISHA KWA MUDA SAFARI ZA TRENI YA BARA KUTOKANA NA MAFURIKO KATI YA MOROGORO NA DODOMA

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia jana Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la reli ya kati ya Kilosa mkoani Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma tuta la reli kukumbwa na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa za kifundi eneo lililoathiriwa na mafuriko ni kubwa hivyo Wahandisi na Mafundi wa TRL wako eneo la mafuriko kutathmini ukubwa wa kazi yenyewe. Kutokana na uamuzi huo treni ya abiria kutoka bara ilibidi safari yake ikatizwe ilipofika Dodoma na...
10 years ago
Michuzi
SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"

11 years ago
Mwananchi26 Sep
TCU yasitisha udahili IMTU
>Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2014/15 katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (Imtu) .
10 years ago
Vijimambo27 Jan
SERIKALI YASITISHA MAFUNZO YA JKT



10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Malaysia yasitisha msako wa MH370
Serikali ya Malaysia imesitisha shughuli ya kuitafuta ndege iliyopotea ya MH370 na kuitaja kama ajali huku ikisema abiria wote waliangamia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania