Hatuhitaji madalali uchwara katika soka
Mmoja wa madalali bora wa soka duniani Jorge Mendes, akihojiwa na kituo cha habari cha BBC aliwahi kunena kuwa watu hawajui lolote kuhusu udalali wa soka na ndiyo maana hubaki kuwashutumu tu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Nigeria:Hatuhitaji msaada wa UN
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
‘Hatuhitaji madaraka tunawakilisha wafugaji’
KUNDI la wafugaji limesema halihitaji madaraka ndani ya Bunge Maalumu la Katiba bali wanahitaji kufanya kazi ya kuwakilisha kundi hilo ili litambulike kwenye Katiba. Akizungumza na Tanzania Daima bungeni jana...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
HOJA YA UCHUMI: Hatuhitaji kusubiri rais mpya kuiokoa shilingi
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Tukigomea mikataba uchwara
NIANZE kwa kuwashukuru wasomaji wa safu hii inayotoka kila Jumamosi, kwa namna wanavyoshiriki kuchangia mawazo na wengine wengi kunipongeza. Na katika hilo, nipende kuwashukuru wale wote walioeleza kwa hisia kali...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Tuwanyime kura wanasiasa uchwara
NAWEZA kusema bila uwoga, akili ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa imewekeza kwenye kupambana na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa gharama yoyote bila kujua kuwa...
11 years ago
Habarileo29 May
'Siasa uchwara ni hatari kwa nchi'
WASOMI, wanadiplomasia na viongozi wa dini wameasa wanasiasa kuwa makini na usalama wa taifa kwa kuhakikisha tofauti za vyama vyao, hazidhoofishi utaifa na maslahi ya nchi. Wamehadharisha juu ya kile kilichoitwa ‘siasa uchwara’ na propaganda, wakisema ikifika hatua ya wanasiasa kuonesha tofauti hadharani juu ya masuala yanayogusa maslahi na usalama wa nchi, ni jambo la hatari na haileti picha nzuri usoni mwa mataifa mengine.
11 years ago
Mwananchi03 Apr
NHC: Kuweni makini na madalali
11 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wataka madalali wa mazao wadhibitiwe
SERIKALI imetakiwa kuwadhibiti madalali wa mazao ya shambani kwa kuwa ni maadui wanaosababisha kudidimiza kipato cha wakulima. Ushauri huo umetolewa na mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kisua...
10 years ago
Habarileo22 Apr
CCM yakaripia viongozi madalali
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka viongozi wake walioanza kuwatembeza watu wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu, kuacha mara moja kwa kuwa wanakiuka kanuni za viongozi na maadili.