Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka madalali wa mazao wadhibitiwe

SERIKALI imetakiwa kuwadhibiti madalali wa mazao ya shambani kwa kuwa ni maadui wanaosababisha kudidimiza kipato cha wakulima. Ushauri huo umetolewa na mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kisua...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wataka viwanda vya mazao ya mifugo

Wafugaji katika Kijiji cha Matongo-Nyamongo wilayani hapa wameiomba Serikali kufufua viwanda vya maziwa, ngozi na kuanzisha viwanda vya kusindika nyama ili kumkomboa mfugaji kimaendeleo kwa madai kuwa kukosekana kwa viwanda hivyo kunapelekea mifugo kuuzwa Kenya.

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi ameitaka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Dodoma kuhakikisha inatafuta suluhisho la haraka la changamoto ya maghala na mifumo ya kuhifadhia mazao inayoikabili taasisi hiyo wakati huu wa msimu wa kununua mazao.
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...

 

11 years ago

Mwananchi

Waongo Bunge la Katiba wadhibitiwe

Kila mara mjumbe wa Bunge la Katiba anapoonekana kutoa maneno yanayodhaniwa kuwa ni ya uongo, hasa kuhusu mmoja au kundi la wajumbe wa Bunge hilo, mwenyekiti huombwa kutoa mwongozo ili huyo anayesema aweze kuthibitisha madai yake au kudhibitiwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi ataka ‘chomachoma’ wadhibitiwe

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Beatrice Dominic, amewataka Watendaji wa Kata na Vijiji kuwakamata wafanyabiashara wanaonunua korosho kinyume na utaratibu husika wa stakabadhi ghalani kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Harama wadhibitiwe vipi?

Boko Haram wamekuwa wakifanya mashambulizi ya kutisha dhidi ya wakazi wasio na hatia huku serikali ikisema kuwa inashinda vita dhidi ya kundi hilo

 

10 years ago

Habarileo

Bilal ataka wasiolipa kodi wadhibitiwe

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameagiza wataalamu wa masuala ya kodi kujizatiti katika kupambana na watu wachache wasiolipa kodi.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoro bungeni wadhibitiwe, asema Semakafu

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Dk. Ave-Maria Semakafu, amewataka wajumbe wenzake kutafuta njia ya kuwabana wajumbe watoro katika Kanuni za Uendeshaji wa Bunge hilo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watoa huduma za afya wadhibitiwe-Balozi Mchumo


NA KHADIJA MUSSA
SERIKALI imeombwa kuharakisha utaratibu wa kudhibiti gharama za huduma za afya hususan upande wa dawa ili kuwapunguzia mzigo wananchi.
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya watoa huduma za afya kupandisha gharama kila kukicha, jambo ambalo limekuwa likilalamikiwa.
Pia, watoa huduma hao wametakiwa kuacha tabia ya kubagua wagonjwa wa kadi na kuthamini wale wanaotoa pesa taslimu.
Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Balozi Ali Mchumo, alitoa ombi hilo jana alipokuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

NHC: Kuweni makini na madalali

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limewatahadharisha wananchi kujiepusha na watu wanaojifanya madalali katika utoaji wa nyumba zake mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani