Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoro bungeni wadhibitiwe, asema Semakafu

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Dk. Ave-Maria Semakafu, amewataka wajumbe wenzake kutafuta njia ya kuwabana wajumbe watoro katika Kanuni za Uendeshaji wa Bunge hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Malima akata makali posho za wajumbe watoro bungeni

Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima amesema kuna baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba walioko nje, wamekuwa wakijipitisha “pembezoni mwa ukuta wa Bunge na wengine kupiga mluzi kutaka marafiki zao wawaandike majina” ili wapate posho.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk. Semakafu: Tunakosea kuligeuza Bunge kuwa vita

Watanzania wanaofuatilia Bunge Maalumu la Katiba hawatamsahau Dk. Ave Maria Semakafu. Hii ni kutokana na harakati zake katika kuhakikisha kuwa Bunge hilo linazingatia usawa wa kijinsia. Fuatilia makala haya kumjua mjumbe huyo machachari wa Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Semakafu: Sipendi mijadala inayohusu madaraka pekee

Wakati Bunge la Katiba likiendelea na safari yake ya kuchambua Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya huku kukiwa na ombwe la baadhi ya wajumbe kususia vikao, baadhi ya makundi maalumu yanatoa angalizo kuwa lazima wajumbe wazingatie maoni waliyoyatoa.

 

11 years ago

CloudsFM

MH.KOMBA ASEMA PICHA ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO ZIMETENGENEZWA,ZAMFANYA ASHINDWA KUINGIA BUNGENI LEO

Mbunge huyo amesema kwamba picha hizi zimetengenezwa na maadui wake wa kisiasa na kwamba yeye sio Kiongozi wa hovyo hovyo namna hiyo. Kapteni Komba amesema kwamba anawakaribisha wataalamu wa Picha na Mitandao kutihibitisha ukweli wa picha hizo zinazoonyesha Mwanadada akiwa na kipande cha khanga tu huku Mbunge huyo akiwa pembeni yake akionyesha kutokuwepo kabisa kwenye Mahaba yanayotakiwa kuwa yanaendelea baina yao.
Mbunge huyo ameuliza zaidi iweje awe kwenye mapenzi kama picha zinavyo...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI SITTA ASEMA MJADALA UNAENDELEA WAKATI MHE EZEKIEL OLUOCH AREJEA BUNGENI AKITANGAZA HANA KUNDI

Wakati bunge Maalum la Katiba linaendelea na kikao leo,  baadhi ya wajumbe waliokuwa wanasemekana kuwa ni wanachama wa umoja wa kinachoitwa katiba ya wananchi (UKAWA) wamejitokeza  na baadhi yao kukanusha kuunga mkono umoja huo. Mmoja wao ni Mhe Ezekiel Oluoch ambaye  alikuwa anadaiwa  kuwa miongoni mwa WANA UKAWA aliingia Bungeni jana na kukana kuhusika na umoja huo  na kuongeza kuwa yeye hana kundi lolote ndani ya bunge, na kwamba ataendelea na kazi ya aliyoteuliwa kuifanya.  Mjumbe wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Vijembe Vya Kisiasa Vyatawala Bungeni......Lusinde Asema Dr Slaa Hafai Kuwa Rais Maana Ikulu Sio Wodi Ya Wagonjwa


VIJEMBE vya kisiasa jana vilichukua sehemu kubwa ya mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu unaoendelea, ambapo mvutano mkubwa ulikuwa kati ya Serikali na vyama vya upinzani nani amechoka.
Akizungumza bungeni kwa vijembe, Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), alisema hoja ya kambi rasmi ya upinzani kuwa Serikali imechoka, inawezekana ni kweli ila haikuwekwa vizuri.Alifafanua kuwa Serikali imefanya kazi kubwa ya kukopesha wanafunzi, kutoa huduma ya afya, kujenga barabara kusambaza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wataka madalali wa mazao wadhibitiwe

SERIKALI imetakiwa kuwadhibiti madalali wa mazao ya shambani kwa kuwa ni maadui wanaosababisha kudidimiza kipato cha wakulima. Ushauri huo umetolewa na mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kisua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani