Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malima akata makali posho za wajumbe watoro bungeni

Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima amesema kuna baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba walioko nje, wamekuwa wakijipitisha “pembezoni mwa ukuta wa Bunge na wengine kupiga mluzi kutaka marafiki zao wawaandike majina” ili wapate posho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bunge ladhibiti posho kwa wajumbe watoro

JUKATA laonya katiba si mradi binafsi Mrema: Nina akili timamu sio za UKAWA
NA WAANDISHI WETU BUNGE Maalum la Katiba limeweka udhibiti mkali kwa wajumbe wenye tabia ya kusaini posho bila kuhudhuria vikao.Wabunge wa bunge maalum la katiba wakiendelea na vikaoLimesema kuwa lilishitukia mbinu hizo mapema kabla ya kuanza kwa vikao huku baadhi ya wajumbe wa kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuwa ndio wamekuwa na mchezo huo.Kutokana na hali hiyo, mfumo wa malipo kwa wajumbe kwa sasa umebadilika...

 

10 years ago

Habarileo

Spika atishia kukata posho kwa watoro

Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir KifichoSPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho ametishia kukata posho za wajumbe wa baraza hilo ambao watashindwa kuheshimu na kudhibiti nidhamu ya mahudhurio ya vikao hivyo vinavyoendelea.

 

11 years ago

Habarileo

Malima anyamazisha wajumbe wa Ukawa

UTANGULIZI wa Mwalimu Julius Nyerere alioutoa katika kitabu cha Simulizi ya Thabit Kombo, kilichoandikwa na Minaeli Mdundo, umetumiwa na Mjumbe Adam Malima katika Bunge Maalumu la Katiba, kuwanyamazisha wajumbe waliowatukana waasisi wa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoro bungeni wadhibitiwe, asema Semakafu

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Dk. Ave-Maria Semakafu, amewataka wajumbe wenzake kutafuta njia ya kuwabana wajumbe watoro katika Kanuni za Uendeshaji wa Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wamshauri JK kusitisha posho za wajumbe

Vijana wa Kijiji cha Kitelela katika Manispaa ya Dodoma, wamemwomba Rais Jakaya Kikwete kusitisha kwa muda, malipo ya posho kwa wajumbe wa Bunge la Katiba kwa madai kuwa wako nyuma ya ratiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Posho za wajumbe kupoza waathirika wa mafuriko

Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imepitisha utaratibu ambao kila mjumbe atachangia posho ya siku moja kwa ajili ya kuchangia wahanga wa mafuriko.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisumo akerwa wajumbe ‘kulilia’ posho kubwa

>Mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo, amesema anawasikitikia Watanzania kutokana na hatua ya baadhi ya viongozi waliowamini na kuwapa uongozi kutafunwa na kirusi cha posho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aibu wajumbe Bunge la Katiba kulalamikia posho

MIJADALA ya siku mbili tu tangu Bunge Maalumu la Katiba lilipoanza kikao chake mjini Dodoma, inatia shaka kama kweli wawakilishi hao walioteuliwa na rais watatimiza lengo ambalo Watanzania wanalitarajia la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Posho juu bungeni

WAKATI Ikulu ikitangaza kuwa posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba haijaongezeka, Tanzania Daima imebaini kuwa imeongezeka kwa sh 140,000 kwa siku za Jumamosi na Jumapili tofauti na ilivyokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani