Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamshauri JK kusitisha posho za wajumbe

Vijana wa Kijiji cha Kitelela katika Manispaa ya Dodoma, wamemwomba Rais Jakaya Kikwete kusitisha kwa muda, malipo ya posho kwa wajumbe wa Bunge la Katiba kwa madai kuwa wako nyuma ya ratiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Posho za wajumbe kupoza waathirika wa mafuriko

Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imepitisha utaratibu ambao kila mjumbe atachangia posho ya siku moja kwa ajili ya kuchangia wahanga wa mafuriko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aibu wajumbe Bunge la Katiba kulalamikia posho

MIJADALA ya siku mbili tu tangu Bunge Maalumu la Katiba lilipoanza kikao chake mjini Dodoma, inatia shaka kama kweli wawakilishi hao walioteuliwa na rais watatimiza lengo ambalo Watanzania wanalitarajia la...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bunge ladhibiti posho kwa wajumbe watoro

JUKATA laonya katiba si mradi binafsi Mrema: Nina akili timamu sio za UKAWA
NA WAANDISHI WETU BUNGE Maalum la Katiba limeweka udhibiti mkali kwa wajumbe wenye tabia ya kusaini posho bila kuhudhuria vikao.Wabunge wa bunge maalum la katiba wakiendelea na vikaoLimesema kuwa lilishitukia mbinu hizo mapema kabla ya kuanza kwa vikao huku baadhi ya wajumbe wa kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuwa ndio wamekuwa na mchezo huo.Kutokana na hali hiyo, mfumo wa malipo kwa wajumbe kwa sasa umebadilika...

 

11 years ago

Mwananchi

Kisumo akerwa wajumbe ‘kulilia’ posho kubwa

>Mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo, amesema anawasikitikia Watanzania kutokana na hatua ya baadhi ya viongozi waliowamini na kuwapa uongozi kutafunwa na kirusi cha posho.

 

11 years ago

Mwananchi

Malima akata makali posho za wajumbe watoro bungeni

Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima amesema kuna baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba walioko nje, wamekuwa wakijipitisha “pembezoni mwa ukuta wa Bunge na wengine kupiga mluzi kutaka marafiki zao wawaandike majina” ili wapate posho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Posho ya 300,000 yawezekana tuna wajumbe wagonjwa!

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba hoyeeeee! Wazee wa kukataa posho ya sh 300,000 mpooo? Nadhani mtakuwa mmeitikia hadi mkatikisa vichwa vyenu. Sipotezi muda. Mada yangu ya leo ni ‘mshiko’ wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo timu ya kufuatilia posho za wajumbe wa #Bunge la #Katiba

Timu hiyo inatarajiwa kuyachunguza kwa undani mahitaji ya wajumbe wa Katiba, kisha kuisaidia serikali kutafuta jinsi ya kuongeza posho hizo.

 

11 years ago

Michuzi

Bunge la Katiba: Spika ateua 6 kuchunguza malalamiko ya posho za Wajumbe

Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Ameir Pandu Kificho, ametangaza majina ya watu sita watakaounda timu kwa ajili ya kuyafanya bora malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wajumbe wa Bugne hilo kuwa ya posho ya Shilingi 300,000/= kwa siku haitoshi kuwawezesha kuifanya kazi hiyo kwa makini.
Akitangaza majina hayo kabla ya kuanza kwa semina kwa wajumbe hao, Kificho alirejea Sheria ya Mabadiliko ya Bunge la Katiba Sura ya 83 toleo la mwaka 2014 na kusema:“Kuhusu suala la kumudu kuishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani