Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika atishia kukata posho kwa watoro

Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir KifichoSPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho ametishia kukata posho za wajumbe wa baraza hilo ambao watashindwa kuheshimu na kudhibiti nidhamu ya mahudhurio ya vikao hivyo vinavyoendelea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bunge ladhibiti posho kwa wajumbe watoro

JUKATA laonya katiba si mradi binafsi Mrema: Nina akili timamu sio za UKAWA
NA WAANDISHI WETU BUNGE Maalum la Katiba limeweka udhibiti mkali kwa wajumbe wenye tabia ya kusaini posho bila kuhudhuria vikao.Wabunge wa bunge maalum la katiba wakiendelea na vikaoLimesema kuwa lilishitukia mbinu hizo mapema kabla ya kuanza kwa vikao huku baadhi ya wajumbe wa kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuwa ndio wamekuwa na mchezo huo.Kutokana na hali hiyo, mfumo wa malipo kwa wajumbe kwa sasa umebadilika...

 

11 years ago

Mwananchi

Malima akata makali posho za wajumbe watoro bungeni

Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima amesema kuna baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba walioko nje, wamekuwa wakijipitisha “pembezoni mwa ukuta wa Bunge na wengine kupiga mluzi kutaka marafiki zao wawaandike majina” ili wapate posho.

 

11 years ago

Mwananchi

Spika Makinda: Mbunge aliyetafuna posho arejeshe

Spika wa Bunge, Anne Makinda jana alipigilia msumari sakata la wabunge kuchukua posho bila kuzifanyia kazi stahiki kwa kuwaamuru wazirudishe.

 

11 years ago

Michuzi

Bunge la Katiba: Spika ateua 6 kuchunguza malalamiko ya posho za Wajumbe

Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Ameir Pandu Kificho, ametangaza majina ya watu sita watakaounda timu kwa ajili ya kuyafanya bora malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wajumbe wa Bugne hilo kuwa ya posho ya Shilingi 300,000/= kwa siku haitoshi kuwawezesha kuifanya kazi hiyo kwa makini.
Akitangaza majina hayo kabla ya kuanza kwa semina kwa wajumbe hao, Kificho alirejea Sheria ya Mabadiliko ya Bunge la Katiba Sura ya 83 toleo la mwaka 2014 na kusema:“Kuhusu suala la kumudu kuishi...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AWATAKA WABUNGE CHADEMA KURUDISHA POSHO WALIOZOCHUKUA BUNGENI

*Pia aagiza warudi bungeni haraka wakiwa na vipimo vyao vya majibu ya Corona
*Watakaogoma majina yao kukabidhiwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
SPIKA wa Bunge Job Ndugai amekunjua makucha yake kwa wabunge wa Chadema ambao wametoroka Bungeni wakiongozwa na Freeman Mbowe huku akiwataka warudi bungeni haraka iwezekanavyo na fedha za posho wamechukua kwa siku 14 wanatakiwa kuzirudisha kwa kuziweka katika akaunti ya Bunge.
Pia Spika Ngugai amewaagiza wabunge hao kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwalimu jela kwa ‘kufuga’ wanafunzi watoro

Mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imemhukumu mwalimu wa Shule ya Msingi Nonwe, Raphael Matima kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Sh600,000 ili afiche wanafunzi watoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho

Ofisi ya Bunge imesema baadhi ya kamati zake zitalazimika kumalizia shughuli zake katika ofisi zao za Dar es Salaam, kwa kuwa haiwezi kuziwezesha zote kusafiri kwa ajili ya ukaguzi maeneo mbalimbali ya nchi.

 

9 years ago

Raia Mwema

Posho ya siku ni posho ya kujikimu siyo ya kujikirimia

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Baada ya ‘Utanipenda’ Diamond atishia amani kwa mtutu!

diamond utanipenda

Diamond Platnumz anazidi kudhihirisha kwamba hafanyi tu muziki bali anafanya biashara ya muziki.
Mpango mkakati, mbinu na silaha alizonazo ni nyenzo tosha zitakazomfanya aendelee kuwa na uhakika wa kubaki kileleni kwa kipindi kirefu.

diamond utanipenda

Masaa machache baada ya kuachia wimbo/video mpya ‘Utanipenda’ ambayo imekuwa gumzo kubwa kutokana na kupokelewa vizuri, Diamond amepiga ‘mkwara mwingine’ kwa kupost screenshot ya video nyingine inayomuonesha akiwa juu ya gari na mrembo wakiwa na mavazi meupe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani