MH.KOMBA ASEMA PICHA ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO ZIMETENGENEZWA,ZAMFANYA ASHINDWA KUINGIA BUNGENI LEO
Mbunge huyo amesema kwamba picha hizi zimetengenezwa na maadui wake wa kisiasa na kwamba yeye sio Kiongozi wa hovyo hovyo namna hiyo. Kapteni Komba amesema kwamba anawakaribisha wataalamu wa Picha na Mitandao kutihibitisha ukweli wa picha hizo zinazoonyesha Mwanadada akiwa na kipande cha khanga tu huku Mbunge huyo akiwa pembeni yake akionyesha kutokuwepo kabisa kwenye Mahaba yanayotakiwa kuwa yanaendelea baina yao.
Mbunge huyo ameuliza zaidi iweje awe kwenye mapenzi kama picha zinavyo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog23 Jul
NHC yakanusha taarifa za upotashaji zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii na gazeti kuhusiana na Mkurugenzi wa Shirika hilo
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba NHC Bw. David Shambwe akisoma taarifa ya shirika hilo kukanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu Kyando ameundiwa zengwe na baadhi ya wabunge ili aondolewe katika shirika hilo, wanaofuaia katika picha ni Muungano Saguya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii, Bw. Martin Mdoe Mkuu wa Kitengo cha Sheria na Benedict Kilimba Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
VIDEO: Membe asema Komba alikuwa shuhuda kwenye mgogoro wa mipaka
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Capt. John Komba.
10 years ago
Habarileo04 Mar
Mdee aenda kumzika Komba, ashindwa kutokea kortini
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema, Halima Mdee jana alishindwa kufika mahakamani katika kesi ya kutotii amri halali ya Polisi inayomkabili na wenzake wanane, ikielezwa kuwa alikwenda kwenye maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi mkoani Ruvuma, Kapteni John Komba.
9 years ago
Bongo518 Dec
Kidum akanusha taarifa za kuwa ameokoka, aeleza kuhusu picha za kubatizwa zilizosambaa

Wiki chache zilizopita kuna picha za muimbaji wa Burundi, Kidum zikimuonesha akibatizwa kwenye maji mengi zilisambaa mtandaoni na ikasemekana kuwa ameokoka na kuachana na muziki wa kidunia.
Mwanamuziki huyo mwenye makazi nchini Kenya, amefafanua kuhusu picha hizo kuwa alikuwa akishoot video mpya.
“Sikudanganyi, picha zile muliona ni za video, nilikuwa nashoot video ya wimbo unaitwa ‘Mbingu na Dunia’.” alisema Kidum kupitia Amplifaya ya Clouds Fm. “Sasa jamaa alikuwa anashoot video akakuwa...
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Matukio ya picha kutoka Bungeni leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Februari, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimaa John Kwegyir, kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi kutoka wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe walitembelea Bunge mjini Dodoma...
5 years ago
CCM Blog
MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO DODOMA



10 years ago
Michuzi
MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO



