Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi ataka ‘chomachoma’ wadhibitiwe

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Beatrice Dominic, amewataka Watendaji wa Kata na Vijiji kuwakamata wafanyabiashara wanaonunua korosho kinyume na utaratibu husika wa stakabadhi ghalani kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Bilal ataka wasiolipa kodi wadhibitiwe

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameagiza wataalamu wa masuala ya kodi kujizatiti katika kupambana na watu wachache wasiolipa kodi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Harama wadhibitiwe vipi?

Boko Haram wamekuwa wakifanya mashambulizi ya kutisha dhidi ya wakazi wasio na hatia huku serikali ikisema kuwa inashinda vita dhidi ya kundi hilo

 

11 years ago

Mwananchi

Waongo Bunge la Katiba wadhibitiwe

Kila mara mjumbe wa Bunge la Katiba anapoonekana kutoa maneno yanayodhaniwa kuwa ni ya uongo, hasa kuhusu mmoja au kundi la wajumbe wa Bunge hilo, mwenyekiti huombwa kutoa mwongozo ili huyo anayesema aweze kuthibitisha madai yake au kudhibitiwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wataka madalali wa mazao wadhibitiwe

SERIKALI imetakiwa kuwadhibiti madalali wa mazao ya shambani kwa kuwa ni maadui wanaosababisha kudidimiza kipato cha wakulima. Ushauri huo umetolewa na mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kisua...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoro bungeni wadhibitiwe, asema Semakafu

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Dk. Ave-Maria Semakafu, amewataka wajumbe wenzake kutafuta njia ya kuwabana wajumbe watoro katika Kanuni za Uendeshaji wa Bunge hilo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watoa huduma za afya wadhibitiwe-Balozi Mchumo


NA KHADIJA MUSSA
SERIKALI imeombwa kuharakisha utaratibu wa kudhibiti gharama za huduma za afya hususan upande wa dawa ili kuwapunguzia mzigo wananchi.
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya watoa huduma za afya kupandisha gharama kila kukicha, jambo ambalo limekuwa likilalamikiwa.
Pia, watoa huduma hao wametakiwa kuacha tabia ya kubagua wagonjwa wa kadi na kuthamini wale wanaotoa pesa taslimu.
Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Balozi Ali Mchumo, alitoa ombi hilo jana alipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo nchini Mkurugenzi wa UNDP nchini, Bw. Philippe Poinsot, alipokuja kuaga mara baada ya kupata uhamisho wa kwenda kuwa Mratibu Mkazi wa UNDP nchini Moroco.Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bw. Philippe Poinsot mara baada ya kumkabidhi kitabu.Balozi Mushy (wa nne kulia)  akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Poinsot (wa nne kushoto) pamoja na Maafisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.

Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. OMAR MJENGA AFANYA KIKAO NA MKURUGENZI MKUU NHC BWN. NEHEMIAH MCHECHU NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA UJENZI YA DAMAC, BWN.SONIL VOHOR


Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akifanya kikao nyumbani kwake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), BW. Nehemiah Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ujenzi ya DAMAC ya Dubai, Bw. Sonil Vohor.Kampuni ya DAMAC imekubali kuingia ubia na NHC kwenye ujenzi wa nyumba za makazi na biashara, na hotel za nyota tano na kiwanja cha golf.Mwezi huu Julai tarehe 17, DAMAC walifanya ziara Tanzania kupata taarifa muhimu (fact finding mission). Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani