Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hauna ushirikina katikanmimba hizi

Yapo mambo mengi ambayo hutokea katika jamii zetu na kwa mtazamo wa haraka huonekana kuwa pengine ni kiini macho na pengine kuhusisha na imani za kishirikina.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Nigeria hauna uhakika

Uchaguzi mkuu wa Nigeria huenda ukaakhirishwa iwapo majadiliano ya tume ya uchaguzi na pande husika yataafikiana

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe: Usaliti hauna msamaha

>Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama chake hakitavumilia vitendo vya usaliti na kwamba mwanachama yeyote atakayekiuka maagizo ya chama hicho atachukuliwa hatua kali.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli: Uadilifu wangu hauna shaka

MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema uadilifu wake ni wa kuaminika na ameamua kujitoa sadaka kwa ajili ya kutumikia Watanzania katika uhai wake. Akihutubia mkutano wa kampeni mjini Katesh wilayani Babati mkoani Manyara, jana, Magufuli alisema anachotaka ni kufanya kazi na si siasa.

 

9 years ago

GPL

MKWASA: MPIRA WA SASA HAUNA MWENYEWE

Kocha wa Taifa Stars mzawa, Charles Boniface Mkwasa. *Aizungumzia kambi ya Taifa Stars Afrika Kusini Na Saleh Ally KIKOSI cha timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kimeweka kambi jijini Johannesburg,  Afrika Kusini kujiandaa na mechi dhidi ya Algeria. Stars itaivaa Algeria katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018. Mechi hiyo itapigwa Novemba 14 jijini Dar es Salaam, kabla ya kurudiana Novemba 17 jijini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wema: Umaarufu hauna faida kwake

Dk. Damas Ndumbaru MWANADADA anayetamba katika tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu amesema kuwa kila kukicha yeye anafikiria jinsi ya kupata mafanikio makubwa zaidi kushinda aliyonayo sasa kwani umarufu kwake...

 

9 years ago

GPL

FAIZA: USHINDI WA SUGU HAUNA FAIDA KWANGU

Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally. Imelda mtema Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefungukia ushindi wa mzazi mwenzake huyo na kudai kuwa haumsaidii chochote. Akizungumza juzi na Ijumaa, Faiza alisema alivyosikia ushindi wa Sugu wala hakufurahi kwani alimchukulia kama mtu mwingine tu aliyeshinda. “Mimi kwa kweli ushindi wa Sugu naona kama wa mtu mwingine, haunihusu wala...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ujenzi maabara za shule bila vifaa hauna tija’

Imeelezwa kuwa kama ujenzi wa maabara shuleni hautakwenda sambamba na uandaaji wa walimu wa masomo ya sayansi na ununuzi wa vifaa vya maabara, hautakuwa na tija.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani